LHRC wakana kuandaa maandamano kesho

Ally Kanah

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
1,479
388
Ule unafiki wa CHADEMA kutumia migongo ya Taasisi mbalimbali kujinufaisha kisiasa umebainika l

Unafiki huo umebainika baada ya wakurugenzi wa vituo vya haki za binaadam kukanusha kupanga maandamano ya kesho

Wakiongea na kipindi cha JAHAZI cha Radio Clouds wamekanusha kupanga maandamano hayo na kusema kunawalioyanga kwa faida zao kisiasa ni bora wakawa wazi kuliko kuvihusisha vituo hivyo

My take: kama mmepanga kuandamana si muweke hadharani ya kuwa ni nyie wenyewe kuliko kuwahusisha watu ambao hawajapanga kama mlivyompiga Dk Ulimboka na kujaribu ku hide sasa mmeanza kumwaga
 
Yaani amlali,amli,amnywi bila kuitaja CDM!....kweli Chadema ndiyo inaongoza nchi
 
Mtu mzima hatishiwi Nyau,kwan Mama Kijo kisimba na Nkya si walijarib wakati wa mgomo wa kwanza wa Madaktari pale Palm beach Dsm wakakuta waandamanaji hawajai hata kwenye Pick up,Meya Arusha keshatoka kwa maandamano?
 
Yaani amlali,amli,amnywi bila kuitaja CDM!....kweli Chadema ndiyo inaongoza nchi

Ndugu yangu katika bwana ni habari iliyokuwa kwenye radio au nimefanya mbaya kuwaletea jamvini ili muweze kuwajua wanaoivuruga hii nchi yetu?
 
Yaani amlali,amli,amnywi bila kuitaja CDM!....kweli Chadema ndiyo inaongoza nchi

Yule aliyetemwa Ubunge kule kaskazini ndio kumbe aliongoza watekaji wa Dk Uli dah dah sasa watu wamestuka

Na hili la maandamano kumbe mlizunguka chocho mkamwagwa ama kweli maji ya shingo
 
Sasa unafiki uko wapi?That story is one sided,Chadema umewauliza?Nikisema we ndo mnafiki ntakuwa nimekosea?
 
Ule unafiki wa CHADEMA kutumia migongo ya Taasisi mbalimbali kujinufaisha kisiasa umebainika l

Unafiki huo umebainika baada ya wakurugenzi wa vituo vya haki za binaadam kukanusha kupanga maandamano ya kesho

Wakiongea na kipindi cha JAHAZI cha Radio Clouds wamekanusha kupanga maandamano hayo na kusema kunawalioyanga kwa faida zao kisiasa ni bora wakawa wazi kuliko kuvihusisha vituo hivyo

My take: kama mmepanga kuandamana si muweke hadharani ya kuwa ni nyie wenyewe kuliko kuwahusisha watu ambao hawajapanga kama mlivyompiga Dk Ulimboka na kujaribu ku hide sasa mmeanza kumwaga

Kwa taarifa yenu nyinyi mnaotumwa:
Watanzania tulio wengi tumeamua kuwaamini CHADEMA kwa sasa hata kama mnasema ni Chama cha kidini, kikanda au kikabila. Hadi hapo kitakapothibisha kuwa kimeshindwa kutimiza haja za Watanzania!
 
Dahh Mufti Kimarihooo,

Hadi hapo umewapatia kweli CHADEMA kwa unafiki wao wa kutumia taasisi mbalimbali kujinufaisha kama vile:

1. Hutumia Taasisi ya Mahakama - KUNG'OA MAHASIMU KWENYE VITI VYA UBUNGE,

2. Taasisi ya TAKUKURU - Kukamata vidaga na MAFISADI PAPA WAKISEMEKANA HAWAGUSIKI;

3. Taasisi za benki - Kuwapa mikopo wale tu wanaokubaliana nacho.

4. Taasisi ya Bunge - Kama muhuri wa kupitishia madhila.

5. Taasisi ya Jeshi la Polisi - Kupeleka watu kutalii Mabwepande.

.... Banae, umepatia kweli kweli madai yako hayo hapo chini. Hebu kaza nyusi kidogo zaidi mkuu - huenda mambo yakawa murua kwani you never know!!!

Ule unafiki wa CHADEMA kutumia migongo ya Taasisi mbalimbali kujinufaisha kisiasa umebainika l

Unafiki huo umebainika baada ya wakurugenzi wa vituo vya haki za binaadam kukanusha kupanga maandamano ya kesho

Wakiongea na kipindi cha JAHAZI cha Radio Clouds wamekanusha kupanga maandamano hayo na kusema kunawalioyanga kwa faida zao kisiasa ni bora wakawa wazi kuliko kuvihusisha vituo hivyo

My take: kama mmepanga kuandamana si muweke hadharani ya kuwa ni nyie wenyewe kuliko kuwahusisha watu ambao hawajapanga kama mlivyompiga Dk Ulimboka na kujaribu ku hide sasa mmeanza kumwaga
 
Na kwenye redio walisema kama ulivyo sema ww kwa kutumia neno unafiki!!

Ndugu katika Bwana kwa kuwa wale tuliokuwa tunajua ndio wameeanda kumbe si hao basi hawa(Chadema) ndio wanafiki kwa maana wameyatangaza sana hayo maandamano ya kesho
Watu wanamna hiyo ndani ya jamii huitwa wanafiki
 
Dahh Mufti Kimarihooo,

Hadi hapo umewapatia kweli CHADEMA kwa unafiki wao wa kutumia taasisi mbalimbali kujinufaisha kama vile:

1. Hutumia Taasisi ya Mahakama - KUNG'OA MAHASIMU KWENYE VITI VYA UBUNGE,

2. Taasisi ya TAKUKURU - Kukamata vidaga na MAFISADI PAPA WAKISEMEKANA HAWAGUSIKI;

3. Taasisi za benki - Kuwapa mikopo wale tu wanaokubaliana nacho.

4. Taasisi ya Bunge - Kama muhuri wa kupitishia madhila.

5. Taasisi ya Jeshi la Polisi - Kupeleka watu kutalii Mabwepande.

.... Banae, umepatia kweli kweli madai yako hayo hapo chini. Hebu kaza nyusi kidogo zaidi mkuu - huenda mambo yakawa murua kwani you never know!!!

Kweli itabaki kuwa kweli ndugu yangu
 
Hahaha ama kweli kumbe ulidhani kila aliye katika imani yako ni wa chama chako ama kweli mmeshikwa pabaya
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom