Lasikoki
JF-Expert Member
- Jan 10, 2010
- 640
- 118
Legal and Human Rights Centre
Tangazo Mkutano na Waandishi wa Habari Kuhusu uwezekano wa kuwepo Mgomo Mwingine wa Madaktari Mwananchi yeyote anayeguswa na suala la tishio la mgomo wa madaktari, mnaalikwa kuhudhuria kwa wingi mkutano na waandishi wa habari utakaofanyika kesho, Jumanne, Machi 6 2012, katika viwanja vya Mtandao wa Jinsia - Tanzania (TGNP), vilivyoko Mabibo jijini Dar es Salaam. Lengo ni kutafuta suluhisho la kudumu kuhusu mgomo mwingine wa madaktari ili kuzuia vifo zaidi vya Watanzania. Tuhudhurie kwa wingi.
NB: Muda ni saa Tatu Asubuhi Viwanja vya Mtandao wa Jinsia Tanzania TGNP - Mabibo, Dar es Salaam
My take: Serikali angalieni msije kuta mnajenga ukuta badala ya kuziba ufa. Let Mponda and Nkya go amd sit down with doctors na jaribuni kutatua matatizo yao. This time hatutaki mje kwenye misiba ya wahanga wa mgomo but we want you to prevent it