LHRC: Gari la CCM liliwatangazia wananchi Igunga kuwa Kashindye kajitoa

[h=2][/h]

Hakika sasa kituo hiki kimeanza kutujulisha wananchi mantiki ya kusajiliwa kwao na kuendelea kuwepo kwao. Hongereni sana LHRC hakika mko juu kama ndege ya Obama.

Mpaka hapa mmetudhihirishia mambo mawili; (1) kwamba LHRC, kama TUCTA ya Mgaya, hivi sasa kuna VICHWA na wala si Ma-Kada wa CCM, na kwamba (2) kunapogusia muktadha mzima wa HAKI NA UTAWALA BORA kuchezewa huko ndiko sasa hamuambiliki hmuelewi somo bali ni kufa na mtu au chama.

Lakini isije ikawa nguvu ya soda.


LHCR%2819%29.jpg

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC)



 
Kama Chadema hawatashinda kesi hii ambayo evidence ziko wazi hata kwa mtu asiyemwanasheria basi kesi zitakazofuata lazima zitakuwa ngumu sana kushinda.
 
mtaji wa ccm ni umaskini na ujinga wa watanzania....
ninashawishika kwamba serikali ya ccm inachelewesha kupeleka maendeleo vijijini ili iendelee kuwatawala watz kupitia kura za watu wa kijijini...
i am so angry....
 
Wewe Juha tuchinjane then what acha kufikili km masaburi wewe

Tutaanza na watu kama wewe then tuweke uongozi sio utawala bora na unaowajibika kwa waajiri (wananchi) wake!
Got that (tusi)!
 
mtaji wa ccm ni umaskini na ujinga wa watanzania....
ninashawishika kwamba serikali ya ccm inachelewesha kupeleka maendeleo vijijini ili iendelee kuwatawala watz kupitia kura za watu wa kijijini...
i am so angry....


Mkuu,
Tunawalaumu bure watu wa vijijini. Kwani Ilala ni kijijini? Temeke je? Au Kinondoni? Kijijini ni wapi huko? Au ni ukonga? Labda kigamboni?
Kuitafakari vizuri utanielewa kwamba tatizo ni kubwa kuliko tunavyolitizama. Tutawalaumu watu wa vijiji vya Igunga. Lakini tukiwaacha hawa wajijini who are doing the same, hatutakuwa tunatafuta solution ya kweli! We must think beyond that!
 
Sasa Kama mikakati ya ccm ni kuzunguka nchi nzima kuwakulisha wananchi kuwa bado inakubalika sababu walishinda jimbo la Igunga,kesi itakayofunguliwa na Chadema itatolewa haki kweli!!?Kweli ccm ni janga la kitaifa kbs,kazi ni moja"kuiondoa"(sio kwa kura)
 
Watanzania tunabwabwaja sana, ndio maana wakenya wakitukamata kwenye kosa huwa hawaturuhusu kujitetea hata kidogo, lakini mpaka ikifika 2015 hatujamwagana vinyesi basi
 
Watanzania tunamuogopa sana Moreno Ocampo hasa tunapoona kinachoendelea kwa kina Uhuru Kenyatta na wenzake

Si kweli ndugu! Wangemuogopa, hawa wahuni wetu wasingeendelea kutuona mahayawani na kukanyaga demokrasia namna hii. Na ni lini Ocampo atajua ukweli wa kinachotokea Tanzania?
 
Kama jimbo moja wametumia Bil.3 fikiria majimbo zaidi ya 200 ongeza na urais watatumia sh. ngapi halafu at the end of the day waambulie 50.3% ya kura zote, and for how long will this keep on happening?

It's simply madness, so to speak!
 
Nasikia hilo gari lilikuwa la Rage huyo msomali anafikiria siasa ni kama yanga na simba huu upuuzi si wa kuvumilia hata kidogo
 
Back
Top Bottom