Shut down your computer
Take out the battery
Start the computer with no battery (with the AC/DC cable plugged in)
press F2 fast....and then you enter in the "BIOS"
Select "Load default values" in the last menu from the bios
Save changes and exit
Then let the computer start windows, and after it is started, turn off the computer again.
Put the battery inside the computer
Start the computer (with the AC/DC cable plugged in)
chagua load optimal defaultsNdugu kang,., nilifanya kama ulivyoshauri ila kwenye BIOS nilikutanana "load optimal default, load custom default" load default value niliiona baada ya ya kubofya F1 4 help. tatizo naona bado,.,.,.
Nimeandika camera,., lkn wameniletea maswala ya installation device,., OS stand 4 wat,. umenipoteza kidogo Gomer
Ni muhimu ukaanika wazi kama notebook bado iko katika uasilia wa lg.
Avoiid torrents at all costs.
Huja ainisha inatumia OS {= Operating System eg windows, linux,... version???} ip.
Kama ulisha isasambua tembelea tovuti hii
LG Product Support for X130-L.ASHWC1
Ama download Cyberink YouCam maalum kwa notebook yako.
http://www.lg.com/lgecs.downloadFil...&FILE_NAME=KRSWD000002611-b1-a1.zip&TC=DwnCmd
Kumbuka hii ni notebook siyo laptop achana na mazagazaga yasiyo na uasilia wa asili ya lg
mkuu mimi mwenyewe natumia CyberLink YouCam from torrents na haina tatizo lolote,,kwenye torrents unapata free cracked applications ambazo ungesema ununue ungeshalipia mamilioni ya pesa,,,Brakelyn,., ni kweli tatizo nililo nalo ni jinsi ya launch hii camera,. ninayo bitcomet.,. Ila natumia NOTEBOOK. torrent hazita zingua kweli,.,
Ni muhimu ukaanika wazi kama notebook bado iko katika uasilia wa lg.
Avoiid torrents at all costs.
Huja ainisha inatumia OS {= Operating System eg windows, linux,... version???} ip.
Kama ulisha isasambua tembelea tovuti hii
LG Product Support for X130-L.ASHWC1
Ama download Cyberink YouCam maalum kwa notebook yako.
http://www.lg.com/lgecs.downloadFil...&FILE_NAME=KRSWD000002611-b1-a1.zip&TC=DwnCmd
Kumbuka hii ni notebook siyo laptop achana na mazagazaga yasiyo na uasilia wa asili ya lg
hilo ziped file limezingua,.,
mkuu lipo freshy nimelijaribu tena, fanya extraction na 7zip au WinRar, au ukishindwa download hiyo torrent mwenyewe kwenye hii link http://isohunt.com/torrent_details/254343589/cyberlink+youcam?tab=summaryhilo ziped file limezingua,.,