YeshuaHaMelech
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 2,597
- 37
Mhh! Mtazamaji ni kama mtahitaji version control hivi. How else mtafanya kazi? You need SVN or Mercurial. May be bitbucket au Sourceforge?
Kwa nini umechangua fani ya IT?
guys me nipo udom,am nipo gud in animation design,3d modelin n some in c++,java,kama vinaweza kutumika den am in...lets icrease our skills n confidence guys
Mhh! Mtazamaji ni kama mtahitaji version control hivi. How else mtafanya kazi? You need SVN or Mercurial. May be bitbucket au Sourceforge?
Mtazamaji,
mkianza hiyo project itakuwa let us say ktk server fulani. Lakini kila mtu atakuwa na part yake ambayo each time ana modify au kuongeza feature.
Sasa ili kufanya sync na mmoja sioverwrite changes za mwingine na kudocument each chane na pia kuweza ku fall back to previous version in case of bug, unahitaji version control. Sasa zipo nyingi kama cvs, svn na mercurial. Svn na mercurial zinatumika sana kwa project collaboration. Sourceforge ni project hosting servers kwa ajili ya open source projects. Wanayo integrated svn service ingawa mnaweza set up your own.
Sijui kama nimeeleweka au ndio nimejichanganya!
mtafika tu Mtazamaji, usijali. Mwanzo mgumu ndugu yangu. Cha msingi nia tu. Anyway ktk list ya watu walioomba naona umemsahau jamaa anaitwa Givenality+, au sijaona mstari mwekundu ulipopitia?
Anyway good project, just take acourage!