lets talk CHAGONJA!

kweleakwelea

JF-Expert Member
Nov 29, 2010
3,065
1,535
EAR FELLOW tANZANIANS...

ni kwa masikitiko sana, na sikupenda tufiko huko..lakini haina budi tumefika....kwani mlala na mbwa siku zote huamka na viroboto...

lets talk about Paul Chagonja...operations boss wa jeshi letu la polisi....

mara kadhaa chini ya administration yake kumekuwa na unyanyasaji na mauaji ya raia ambayo hayakuitaji nguvu...wote ni mashahidi kama mliona ile clip ya ule ugomvi wa mifugo kwenye hifadhi kule tabora...kama sio shinyanga......kimsingi sidhani kama polisi wetu wanatumwa kwenda kutuliza na si kuua...

majibu yake hayaonyeshi daliili yoyote ya busara..sielewi alifikaje hapo juu alipo...

labda tusemezane...what is wrong with this command?
 
unauliza alifikaje? wakati Tz ndo nchi inaongoza kwa kubebana/kupeana vyeo kwa basis ya kujuana? u cant be serious
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom