Elections 2010 Let's support John Mnyika!

Kweli ubungo kwanza na kwa kuchagua anayewafaa na ccm baada ya miaka 50 ijayo ndipo itafikiriwa tena.........
 
Kama Mnyika kisha maliza Ubungo, inabidi aje kumsaidia Mdee Kawe kwani sioni kampeni yake huku vipi?Pia ningewashauri Chadema Taifa kutangaza kwenye TV na Radio namba za kuchangia chama kwani hawajatangaza vya kutosha ili wananchi wawachangie; pia hizo namba zinaweza hata kutangazwa kwenye mikutano ya hadhara ili watu wanaochangia kwa mtandao wafanye hivyo wakiwa hapo mikutanoni!
 
Tarehe ikifika fasta pale UDSM kumpigia kura kijana machachari, Mnyika na ndugu yetu Mpendwa Slaa

Mwenye kununa anune hadi atoboke
 
Kila la Heri Mnyika Mwenyezi Mungu akutangulie akulinde kwa mabaya yote, hakikisha makada wa usimamizi wa uchaguzi hawadanganyiki kwa kupewa hela na mafisadi ili wageuze kura
 
kiukweli hamna wa kumzuia kamanda mnyika dic time kwaniu hata huyo mpenzani wake kutoka chama cha mafisadi akiwa na mikutano yake huishia kuzomewa kwa wananchi kukumbuka ya kuwa alikuwa akimnadi mbunge aliye maliza muda wake bwana kienja so wananchi wanamaauchungu nha kundi hilo la kutafuna fedha zao kuuza viwanja vyao wakati wananchi wakitaabika kwa afya kuwa duni, barabara mbovu, maji hamna kila kitu ahadi hewa,

watanzania kudanganywa basi 2010 ni mwaka wa kuandika historia mpya katika taifa letu na si mwaka wakuwarudisha wezi wa mali zetu za umma ni mwaka wa kuwaadabisha kisha kujenga uchumi imara then wajue ya kwamba taifa hili halina kibali cha kuongozwa na wao milele.... MUNGU IBARIKI CHADEMA MUNGU IBARIKI TANZANIA NA ENDELEEAKUMPA SLAA MOYO WA KUWATUMIKIA WATANZANIA...AMINA
 
Hongera kamanda mnyika. Mwaka huu ubunge wa ubungo ni wako.mungu akupiganie kwa kila hali

Ni sawa lakini kumbukeni MIJIZI imeshajipanga kukwapua kura. Mwaka 2005 kura za Mnyika zilichakachuliwa Manzese, yule mzee @$#@^&^%$#@ zake alipotangazwa mshindi nilitamani nipate muder kesi!
 
Nani kakudanganya Nguruwe anatisha! Kitoweo hicho

images
 
Mafisadi gani?!:confused2:
unauliza mafisadi gani kwani huwajui walio kwapua fedha za umma na kujimilikisha rasilamali za taifa kamuleze mabele marando utapata orodha ya mafisadi ukiweza mpigie simu rais wetu Dr w.Slaa atakujibu.
 
mafisadi wanaovunja amri ya sita vp?
 
Mie yakhe kituo changu cha kupigia kura ni pale Ubungo plaza, vufaa vyote ikiwa ni pamoja na kitambulisho cha kupigia kura vipo tayari. So with no doubt me and my wife our presidential vote going for Dr Slaa while MP is going for JJ Mnyika.
 
If your actions inspire others to dream more, learn more, do more and become more, you are a leader -- GO JJ MNYIKA
 
he was our chairman of debating club pale maua seminary na ndipo nilipogundua uwezo wake achilia mbali zile A zake 9 na C moja kwenye matokeo yake ya f4,wana wa ubungo huu ni ushuhuda wangu kwenu juu ya uwezo wa mnyika,vote for him guyz
 
Kama Mnyika kisha maliza Ubungo, inabidi aje kumsaidia Mdee Kawe kwani sioni kampeni yake huku vipi?Pia ningewashauri Chadema Taifa kutangaza kwenye TV na Radio namba za kuchangia chama kwani hawajatangaza vya kutosha ili wananchi wawachangie; pia hizo namba zinaweza hata kutangazwa kwenye mikutano ya hadhara ili watu wanaochangia kwa mtandao wafanye hivyo wakiwa hapo mikutanoni!
Mkuu,Halima yuko fiti,leo pale Mbezi tangi bovu palikuwa hapatoshi!
 
he was our chairman of debating club pale maua seminary na ndipo nilipogundua uwezo wake achilia mbali zile A zake 9 na C moja kwenye matokeo yake ya f4,wana wa ubungo huu ni ushuhuda wangu kwenu juu ya uwezo wa mnyika,vote for him guyz

Dickson?, nimekusoma! Guru, mkulima, infancy, Rhombic etc wanakusalimia sana.
 
Back
Top Bottom