Lets say you're Sir Fergie...

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
2,257
353
Lets say wewe ndo ungekuwa Mister....oh sorry- Sir Alex Ferguson na umemuuza Ronaldo kwa £80m (Pheeeew....those rich bastard could have bought Newcastle United with this money!!!!) na wamiliki wa timu wanakuambia hawataki hata senti tano kwenye hilo deal na wanataka kuona ukitumia hiyo hela yote kusajili mchezaji/ au wachezaji ambao unaamini wataziba pengo la Ronnie kabla msimu mpya haujaanza. Je utamsajili nani? Lets play some fantasy football.......
 
KKN, unaweza kama SAF kutaka kumsajili mchezaji au wachezaji ambao hawataki kwenda MANU, hapo ndiyo itakuwa ngoma. Wachezaji wanaweza kufikiria kwanza aliondoka Beckham, kwa kutokuwa na uhusiano mzuri na SAF, halafu Ronaldo na Tevez naye kishatishia. Hapo wachezahi wengine wanaweza kuingia mitini kama SAF akiamua kuwasajili.
 
Chuki yako kwa Ferguson na Manchester United itakuua...
 
KKN, unaweza kama SAF kutaka kumsajili mchezaji au wachezaji ambao hawataki kwenda MANU, hapo ndiyo itakuwa ngoma. Wachezaji wanaweza kufikiria kwanza aliondoka Beckham, kwa kutokuwa na uhusiano mzuri na SAF, halafu Ronaldo na Tevez naye kishatishia. Hapo wachezahi wengine wanaweza kuingia mitini kama SAF akiamua kuwasajili.

BAK hapa nimeleta fantasy football tu nione jinsi ambavyo watu wanaweza kuitumia hiyo £80m kumreplace Ronaldo, tujaribu ku ignore factors nyingine.
 
KKN mimi nafikiri kama mshabiki na mwanachama wa Man Utd mtu ambaye ningeweza hasa kumfikiri kwenye manunuzi ni David Villa ingawa naona SIR hana hata muda wa kumfikiria na pesa baadhi kukamilisha issue ya Tevez zinazobakia unaweka kapuni huku ukiangalia wengine nitarudi baada ya kutafakari zaidi...to be cont....
 
KkN, Ningekuwa SAF ningefanya hivi...

Nunua: David Villa, David Silva, Benzema (achemse bench) Yaya Toure, Essien.

If Ribbery angekuwa cheap kiduchu, naye angekuwa option lakini hii habari ya Bayern kutaka £60m, ni upuuzi

THEN: Uza/toa loan akina Park, Bebartov na Carrick. Nani has potential, could be tested one more season na apewe vijimechi kadhaa
 
so RONALDO ni ugonjwa wa MOYO sana kwa wana MANU au? duh! Mlishafanya ndoa nini? DESPOTIVE LISBOA fans walilia sana BT KISU KIKALi kilimsepesha THERE, MSISIKITIKE JAMANI ndio FABO na MAHELA NDO KAZI YAKE, mchukieni FLORENTINO PEREZ' THE CAPITALIST'
 
Bei walizowekewa akina Ribery na Benzema kiukweli ni tisha toto ila wanapatika kwa nusu ya hiyo bei iliyotajwa.

With 80 Mills, tafuta winger mmoja na. Kwa matatizo waliyonayo Liverpool ningebisha hodi kwa Torres to be continued..
 
Utd inahitaji holding midfielder! Carrick sio holding midfielder na hii ilionekana wazi kwenye CL finals. Mimi sijui wa-msign nani, lakini pengo la Keane halijazibwa bado. Ingekuwa safi sana kama wangechukua mtoto mdogo ambaye atakuwa na club.
 
frank ribery anatosha peke yake na kama tevez anaondoka amchukue benzema.valencia pia atamsaidia lakini sidhani kama anamuitaji sana valencia kwa vile ana NANI tayari.
 
so RONALDO ni ugonjwa wa MOYO sana kwa wana MANU au? duh! Mlishafanya ndoa nini? DESPOTIVE LISBOA fans walilia sana BT KISU KIKALi kilimsepesha THERE, MSISIKITIKE JAMANI ndio FABO na MAHELA NDO KAZI YAKE, mchukieni FLORENTINO PEREZ' THE CAPITALIST'

hehehe...Mkuu hamna aliyechukia sasa hivi kwa wanaofahamu soka hii ni big deal mzazi. Soka sasa hivi lipo kibiashara mkuu kwahiyo kwa kiwango hicho nafikiri kitatusaidia sana kwenye usajili wa wachezaji kama tevez na wengineo.
 
Kwa ridiculous- crazy prices zilizopo sokoni kwa sasa, sidhani kama £80m inatosha kuwanunua hao wote Sinyolita.

80£ + (hela itakayopatikana baada ya kumuuza Park, Carrick, Andersson (?) na Berba.

Swali ni aje...hao tajwa hapo juu kuna mtu anawataka?
 
Ungekuwa Fergie ungewauza kwa bei gani kila mmoja?

Mkuu KkK,

Ningekuwa SAF, ningewachuuza kama ifuatavyo:

Park: £11m (huwa anaotea japo vijimagoli vya hapa na pale)

Carrick: £8m

Andersson: £10m

Berba: Hapa mgogoro. Ningewaomba Spurs warudishe japo 3/4 ya ule mshiko waliochukua then wamchukue...

Au wewe unaonaje hapo..fair prices?
 
KKN..ngoja niwatafute akina Icadon, Belo na Manda......wao utafikiri huwa wanaongea/assistants kwa (no offence plse) SAF..........lol
 
Park: £11m (huwa anaotea japo vijimagoli vya hapa na pale)

Carrick: £8m

Andersson: £10m

Berba: Hapa mgogoro. Ningewaomba Spurs warudishe japo 3/4 ya ule mshiko waliochukua then wamchukue...

Au wewe unaonaje hapo..fair prices?

Mi sidhani kama kati ya Carrick, Anderson na Park kuna anayezidi £8m, huyo Berb kwa sasa itakuwa bahati sana kupata hata nusu ya hela aliyonunuliwa toka Spurs.
 
80£ + (hela itakayopatikana baada ya kumuuza Park, Carrick, Andersson (?) na Berba.

Swali ni aje...hao tajwa hapo juu kuna mtu anawataka?
sisi tunaweza kumnunua anderson au carrick.waekeni sokoni muone.
kwanini uwauze wakati unapozungumzia depth kwenye team wachezaji kama hawa ndio unawahitaji? na wame play big roll last season wote watatu.
 
Kama mm ndo SAF, na miburungutu yangu huyooooo hadi Nou Camp...hodiiii,hawajamaliza kuniitikia..."naomba niitiwe Lionel Messi tafadhali".
Nikitoka hapo moja kwa moja A.Madrid..."namuhitaji kijana mdooogo sergio Aguero".
Hawa wawili ni sawa na C.Ronaldo wanne.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom