Let's be serious, kwa staili hii ya uongozi ni nani asiyeweza kuwa rais wa Tanzania?

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
Ndugu zangu wanaJF tuwe wakweli,
Hivi kwa staili ya uongozi wa kikwete ni nani anayeweza kushindwa kuongoza Tanzania? Kauli kama hii, aliwahi kutamka Baba wa Taifa Mwl. Nyerere wakati akimnadi Mkapa kwenye mkutano wa hadhara Mjini Iringa. Kama mtakumbuka wakati huo uongozi wa nchi ulikuwa umepwaya sana. Nyerere alisema nanukuu 'nchi imeongozwa hovyo hovyo kiasi cha kila mtu kujisikia kuwa anaweza kuwa rais'. Kwa mawazo yangu, uongozi wa kikwete ni hovyo kuliko hata ilivyokuwa wakati wa Mwinyi.
 
Arooo unasema raisi ana uongozi ovyo ovyo?? ngoja wenyewe wakusikie!
 
Kwa ujumla urais kwa sasa kila mtu anauweza, ndio maana hata Dovutwa aligombea
 
Back
Top Bottom