Let's be open, ni wangapi wanaotumia kondomu wakati wa tendo nje ya ndoa??

ilo ni suala la private kwa wapenzi... sijapenda swali lako maana unrusha jiwe gizani
 
Haya mkuu, umeamua kuturushia mabomu siyo. Tangu nioe sijachakachua nje. Ila kwa uzoefu mbaya wa ujana huwa ni rahisi kujisahau kutumia kondom ukishazoea uwanja.
 
jamani wanaotoka nje ya ndoa watoe mauzoefu wengina hapana na hapana kabisa hairuhusiwi
 
goood morning,,,,!! mi nimepita kuwasalim tuu hamjambooo???:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:

avatar yako au ndiyo picha yako, mashaaalah mtoto wakike.

Tukirudi kwenye maada mimi natumia kondom sasa siwezi kusemea wengine
 
Ladies and Gentlemen,

Hili swali linaweza kujibiwa na wanaume na wanawake walio kwenye ndoa. Ebu tuwe wakweli, hivi katika siku ambazo bahati mbaya ulianguka kwenye uzinzi kama ni mwanaume je, ulitumia kondomu na kama ni mwanamke je, mwanaume wako alitumia kondomu? Kama kondomu haikutumika, sababu ilikuwa ni nini?? Tuwe wakweli tu. Hapa ni mahali pa kujimwaga.

mtazamo wangu 90% hawajasema ukweli
 
ungetoa hayo maneno wengi wangechangia, lakin kwa hayo maneno imeonekana tayari umeshawatusi wenye ndoa (hata kama kweli amewahi kutoka nje) na atajifanya hana ndoa, hawezi kuchangia
 
Sijawahi toka nje ya Ndoa. Natumia kwa wife km njia ya kuzuia mimba. Unaweza kutwambia kwa nini Ulitoka nje ya Yako? Ni kipi cha zaidi ulikipata huko nje ambacho mke wako hana au kama mngeongea angekiboresha ukapata kwa raha zako zote?. Unajisikiaje unaporudi home umetoka kuchakachua, unamwona mwenzako zuzu kutojuwa uliyotenda huko?
 
Chauro; 1652703]jamani wanaotoka nje ya ndoa watoe mauzoefu wengina hapana na hapana kabisa hairuhusiwi[/QUOTE]

Nakumbuka wewe Chauro na DA nyie ndo mlikuwa wakwanza kumpinga Michele kuhusu wanawake walioolewa kutoka nje. Ukawa unasema awaulize walioolewa ajue mambo yalivyo ikiwa na maana kuchakachua ni kawaida. Hakuna cha mtakatifu katika hiyo kitu. Hapa unataka kuzuga kuwa hutoki nje ya ndoa, mbona unakuwa unatuzuga? Usije ukawa kama NOT ENOUGH mada kujicontradict. Sema tu kutokana na Experience yako, ukimwibia mzee huwa unatumia kinga?
 
Sijawahi toka nje ya Ndoa. Natumia kwa wife km njia ya kuzuia mimba. Unaweza kutwambia kwa nini Ulitoka nje ya Yako? Ni kipi cha zaidi ulikipata huko nje ambacho mke wako hana au kama mngeongea angekiboresha ukapata kwa raha zako zote?. Unajisikiaje unaporudi home umetoka kuchakachua, unamwona mwenzako zuzu kutojuwa uliyotenda huko?

Omba mungu aendelee kukusaidia hivyohivyo na usiwajaji wenzako huwezi jua yaliyowafanya wakafanya hivyo. kwenye ndoa kuna mengi sana kijana endelea kumuomba mungu sana
 
Back
Top Bottom