Let's be open, ni wangapi wanaotumia kondomu wakati wa tendo nje ya ndoa??

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
Ladies and Gentlemen,

Hili swali linaweza kujibiwa na wanaume na wanawake walio kwenye ndoa. Ebu tuwe wakweli, hivi katika siku ambazo bahati mbaya ulianguka kwenye uzinzi kama ni mwanaume je, ulitumia kondomu na kama ni mwanamke je, mwanaume wako alitumia kondomu? Kama kondomu haikutumika, sababu ilikuwa ni nini?? Tuwe wakweli tu. Hapa ni mahali pa kujimwaga.
 
kwa wanaume wengi, kwa mara ya kwanza wanapokutana na mwanamke huwa wanakuwa makini sana na huweza kujidhatiti kwa kutumia Condom. But tatizo linatokea kama ni match ya marudiano, kuna trust fulani huwa inakuwepo kwa huyo mwanamke na unaona hamna haja ya kutumia kinga.
Akina dada wa siku hizi hawapo makini sana, dicision ya kutumia condom mara nyingi anakuwa nayo mwanamume,,! wanawake kuna hali fulani wakishakuwa nayo hawawezi kuresist chochote!
 
goood morning,,,,!! mi nimepita kuwasalim tuu hamjambooo???:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
 
Swali zuri sana sio lazima utumie nje ya ndoa..
Mimi na mume wangu tunatumia condom kama njia ya uzazi wa mpango!!! sote tunajua madawa yana madhara..!
 
your life is very important than a 15 minutes pleasure. The tears which have been shaded by people living with hiv/aids in sab-saharan africa ca adequately fill all the major african rivers like congo and nile. Please take care...
swali zuri sana sio lazima utumie nje ya ndoa..
Mimi na mume wangu tunatumia condom kama njia ya uzazi wa mpango!!! Sote tunajua madawa yana madhara..!
 
mbona wana ndoa wengi humu hamjibu?mmeshikwa na vigugumizi? aaaaaahhhhhhhhh eeeehhhhhhhh te te teeeeee semeni banaaaaa lol!!
 
mbona wana ndoa wengi humu hamjibu?mmeshikwa na vigugumizi? aaaaaahhhhhhhhh eeeehhhhhhhh te te teeeeee semeni banaaaaa lol!!

Subiria wanandoa walioanguka kwenye uzinzi walete majibu. Lakini pia hata ambao hawajaoa lakini wameshaanguka kwenye uasherati, waseme. Maana wote (wenye ndoa na wasio na ndoa) mwisho wao unafanana in terms of disease exposure.
 
Kwa kweli ile maneno bila condom ni tamu, ilitokea siku moja nilikuwa na nyumba ndogo baada ya romance nikanyanyuka kwa nia ya kwenda kuchukua condom kwenye jeans, kwa vile mimi nilikuwa nipo upande wa ukutani ilikuwaa nimruke kufuata jeans iliyotundikwa mlangoni, wakati namruka akanivuta, kwa kweli niliuza timu...... in reality ukifikiria utamu ni wa saa moja tuu na madhara yake (kama yatatokea) ni life time, mh hapo Mkristu unaushika moyo!!!!!
 
si nje ya ndoa tu hata nje ya girl/boy friend au mchumba kwa anaye jali lazima atumie mkuu
 
si vizuri kuvunja amri ya sita lakini inapotokea ni lazima mkubaline kuhusu safety-how to do it? When and how. You just don't grant your whole body in casual sex or rampant sex. Jitahidi get out of it and stick to your lovely one . Kama amesafiri au in case of prolonged family conflict ..bora unyetue .
si nje ya ndoa tu hata nje ya girl/boy friend au mchumba kwa anaye jali lazima atumie mkuu
 
1st day nilirumia bt siku zinazofuata mwenyewe alilalamika hasikii utamu, tukapiga kavu kavu hadi leo kavu mtindo mmoja, asikuambie mtu utamu wa kondom ni wakutafuta bt ule wa nyama kwa nyama upo muda wote!
 
Back
Top Bottom