Lets be business partners...kama upo tayari

mtata mtatuzi

Member
Jul 29, 2011
44
10
nipo mtaan morogoro,kama kuna yyte aliye interested na kufanya kazi na mimi hususan biashara,tuchange mawazo tusake fund tuanze hima hima biashara au shughuli yetu wenyewe. mawazo ni mengi sana hapa kichwan kwangu, na kinachonipa taabu ni kipaumbele tu...najua lazima wapo watu kama mimi. naomba tuwasiliane,changia via this thread afu nikusake tuanze shuguli, noo,,KAZI
 
Mawazo ni mengi kichwani kwangu pia nitafute basi sema mm ninaishi dar alafu kwa sasa niko Finland nitarejea mweziujao inakuwaje hapo?
 
ayt.. lakin kwa sasa nasaka partner ambaye ana mawazo na morogoro..
#I've just finished chuo by the way.. nadhan watu kama mm tupo wengi. nkipata one from moro au hata zaidi ya mmoja we can do gr8 thngz from here.
 
I understand its not easy to partner coz wewe uko mbali hata hivyo you might be too ambitious for business! But be strategic na uwe focused you will make it broda!
 
Madau niko hapa moro madizin nami nimemaliza chuo but napendelea biashara zaidi.. Tupeane mawasiliano mkuu
 
Wakuu kila la heri na mipango yenu, nimeipenda sana hii, Kikubwa hamtakiwi kukata tamaa ni kupambana mpka dakika ya mwisho, KUWENI KAMA THOMAS EDSON MVUMBUZI WA Balubu jamaa hakukata tamaa pamoja na kwamba alifeli mara 9999, NA HADI LEO HII Thomas Edson anabakia kama kielelezo cha Uvumbuzi duniani na kuto kata tamaa,
 
Vizuri kama umefikiria hivyo. unafikiria biashara gani sasa mdau? Nakuahakikishia ukiwa serious utatoka ndani ya muda mfupi

ASANTE kwa moyo mkuu...kama nilivosema mawazo ni mengi, natafuta aliye ktk hali ya kutaka kuanza kama mimi...kwa sasa kuna wakuu naendelea kuwasiliana nao...NAWAKARIBISHA ZAIDI
 
nipo mtaan
morogoro,kama kuna yyte aliye interested na kufanya kazi na mimi hususan
biashara,tuchange mawazo tusake fund tuanze hima hima biashara au
shughuli yetu wenyewe. mawazo ni mengi sana hapa kichwan kwangu, na
kinachonipa taabu ni kipaumbele tu...najua lazima wapo watu kama mimi.
naomba tuwasiliane,changia via this thread afu nikusake tuanze shuguli,
noo,,KAZI
ukickia kulizwa ndo huko.
 
Back
Top Bottom