Leticia Musore wa CHADEMA ahamia NCCR

Chadema kuna mambo ya ukabila na undugu sana tu. Mke Tundu Lissu na Dr. Slaa wamepewa ubunge viti maalum. Lucy Owenya na binti wa Ndesamburo na Grace Kihwelu ni mkwe wake
 
wewe sio askari shujaa ,CDM haitaki watu wa dizaini yako .Nafikiri una fikra mgando...our target is 2015 with Strong and faithfull members.Peoples power daima!!
 
Huyo atakuwa amepandikizwa kapata mrungura

Yaani hapa utasikia mengi, utasikia hata mjumbe wa chadema kijijini kahamia TLP NCCR yaani ilimradi katangazi watu wamesikia.

Mafisadi angaika CHADEMA ni cha kinachokubalika kwa watu

Nashukuru kwamba ameona wazi kuwa hawezi enda na kasi ya Chadema hivyo kwa hiari yake mwenyewe akahamia Nccr, ila pia naona hajafanya uchaguzi sahihi maana haikuwepo haja ya kuajiri wakili kama angeweza kumnunua hakimu kwa bei rahisi tu! angehamia CCM kabisa maana hao wote wako njia moja.
 
Back
Top Bottom