Let us define the meaning of Government!

Andindile

JF-Expert Member
Mar 18, 2009
304
16
Ndugu wana JF harakati za kumzuia mwananchi kupata taarifa kuhusu yanayoendelea ndani ya "serikali yake" zimepamba moto. Kwa upande wangu nafikiri inabidi tujaribu kutafuta maana ya serikali ili tujue hiyo selikari wanayotaka kuifichia siri ni ipi, inaundwa na nani kwa malengo gani.

What is the meaning of government? (Selikari ni nini?)
Tutumie sources zote zilizopo kupata maana mbalimbali ya selikari na tujiulize ni maana ipi ya serikali tunamaanisha tunapotaka kuficha siri ili wananchi wasijue kinachoendelea serikalini.

Masharti ya kushiriki.
Toa maana ya selikari na source yake (author na mwaka wa publication). Kama ni wewe mwenyewe au author mwingine tuambie.

Haya na tuanze.


Serikali ni.....................................
 
Last edited:
Government is defined as the body within an organization that has authority and function to make and the power to enforce laws, regulations, or rules. The definition is usually intertwined with a state which Max Weber describes as being a monopoly on the legitimate use of physical force (violence) within a given domain. Typically, government refers to a civil government -- local, provincial, or national. However, commercial, academic, religious, or other formal organizations are also governed by internal bodies. Such bodies may be called boards of directors, managers, or governors or they may be known as the administration (as in schools) or councils of elders (as in churches).
.....
Source:Wikipedia
[ame=http://en.wikipedia.org/wiki/Government]Government - Wikipedia, the free encyclopedia[/ame]
 
Last edited:
Back
Top Bottom