Tugutuke
JF-Expert Member
- Apr 21, 2011
- 501
- 165
Jamani wana JF. Ifikie wakati tuwe serious na matangazo ya kazi mnayoweka! Mtu anaweka eti nafasi za kazi,anaweka chanzo mfano eti ni gazeti la Mwananchi,ukienda kulinunua unakuta hamna kitu mle. Mfano halisi, kuna Member humu Jf ka post kuwa Jeshi la Magereza wametangaza nafasi za kazi,akasema kuwa matangazo yapo katika gazeti la mwananchi la leo,nikaenda kulinunua sikuona habari yoyote kuhusu Magereza,nikatafuta mpaka la jana na bado sijaona. Sasa si upuuzi huu.
Kama unakosa cha kupost acha! Sio lazima uanzishe thread ambayo ni serious issue kumbe unaudanganya umma! Tuwe serious jamani! Watu tuna machungu na ajira halafu washenzi wachache humu wanaleta masihara na roho za watu!! Eboo..