Let it/them go...

Alianza kwa Bi Nyakomba akaenda kwa Vivian akamwagwa....
Na mtei walikumbana na SS Dah mtoto Smile akaamua kufall in love kwa SS na Mtei chaliiii

halafu hii LET it GO kwa Mtei inahitajika sana hata tukikutana kwenye Si-hasa yeye anaanzia kwenye kuibiwa mchumba ilhali hajaibiwa ni mipango na upendo tu!!
 
Hahahahaaaa Eliza wa T haijaaminika kama walimwaga Bishanga au Bishanga alimpiga chini ila Eliza mwenyewe anasema alimwaga Bishanga labda waje wao watutibitishie

we we we angalia isije kuwa ile habari kama ya fulani "....inhi inhi inhi.....kwi kwi kiw.... hakuwahi kuniacha ila tulikuwa tunananihii kwa siri inhi inhi.... nitammisi sana"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom