LESENI MPYA SH.40000/= Pesa nyingi hivyo za nini?

Mie nafikiri Gharama si tatizo kama kutakuwa na Uboreshaji wa utoaji wa Leseni Mpya. Kwanza ni hio Design and Durability ya ID, na Kingine Proper process za kupata hio ID na Kupunguza au kutotoa Mianya ya Rushwa. Hio pesa watu wanalewea siku moja tu.

Kingine kuangalia kama proper process za kutoa hio Tender zimefuatwa vilivyo.

lkn pia kutotoa PUSH kuwa zoezi hili lazima liishe within 1-2 yrs...Ni vema wakaweka utaratibu kuwa Leseni ikiisha basi unafanya renew on new process...ili kutoleta Usumbufu kwa madereva/wananchi waliopo makazini

Kiukweli ni kwamba leseni zimetoka na ni ziko bomba sana! Zina kila aina ya International Qualities!
 
Tuwaulize Upande wa VIsiwani walivyobadilisha LESENI walilipia kiasi gani maana wenzetu Visiwani tayari wanatumia huduma hii ya leseni mpya.. Chagua CCM ili uchangie Gharama za utengenezaji LESENI.
 
Back
Top Bottom