Lepilal Ole Moloimet

Domhome

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
3,197
3,930
Huyu bwana alipata kuwa Mbunge wa Monduli wakati fulani. Lakini pia miaka yangu ya mwisho mwisho kumsikia ni pale alipokuwa DC... nadhani huko Kongwa-Dodoma.
Enzi zake za Ubunge alikuwa mjenga hoja mzuri, mteteaji na mshauri mzuri kwenye mambo ya msingi...

Je, kuna anayefahamu kwa sasa huyu Lepilal Ole Moloimet alipo na anafanya nini?
 
Huyu bwana yupo wilayani kiteto kule alikua mkuu wa wilayakabla ya kuhamishiwa kongwa. Nasikia ana mpago wa kugombea ubunge hapo kiteto.
 
Huyu bwana alipata kuwa Mbunge wa Monduli wakati fulani. Lakini pia miaka yangu ya mwisho mwisho kumsikia ni pale alipokuwa DC... nadhani huko Kongwa-Dodoma.
Enzi zake za Ubunge alikuwa mjenga hoja mzuri, mteteaji na mshauri mzuri kwenye mambo ya msingi...

Je, kuna anayefahamu kwa sasa huyu Lepilal Ole Moloimet alipo na anafanya nini?

mteteaji wa mambo ya msingi yapi.....?huyu bwana hana lolote. yupo kiteto tena amemuoa mwanafunzi aliyekuwa anamfadhili kusoma na matokeo yake kamuachisha shule.ametelekeza mke wake.
 
aliwahi kuwa DC Wilaya ya musoma mjini miaka ya 1999 pale nafikiri ni mwanajeshi mstaafu, hivi niulize pia kwanini wamasai wengi ni ma DC tokea mwaka 1995 hadi leo?
 
Back
Top Bottom