Leo..

SI unit

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
1,953
766
Ni siku ya mikate isiyotiwa chachu (alhamisi kuu). Tumeanza rasmi siku tatu kuu za Pasaka. Tusikose kwenye ibada wapendwa. Mungu awabariki sana!
 
Asante, St Peter na St Joseph patajaa, maana ndo njia ya watu wanaotoka makazini.
 
Asante, St Peter na St Joseph patajaa, maana ndo njia ya watu wanaotoka makazini.
.
Siku kama hii hata "mafarisayo" wanaenda church ndo maana panajaa sana.. Me ndo natoka kibaruani nawah folen ili nisichelelewe, manake wengine ni walei kwenye parokia zetu, lazima "tukaoshwe" miguu
 
Back
Top Bottom