Leo zanzibar tumefikishwa hali hii haa!!

Spear

JF-Expert Member
Jun 21, 2008
507
28
IMG_6175.JPG
 
Hivi kwa nini waIslamu wengine wanaona kama Wakristo ni maadui zao badala ya kuhangaika na wale wasioamini Mungu au wale wanaoabudu miungu? Waislamu hawa wanaona Mhindu anaemwabudu Krishna an miungu mingine ni sawa tu.

Kwa hiyo kwa Padri kusalimia hao wazee ndio imekuwa 'Zanzibar kufikishwa katika hali hii'?
 
Ni kwa sababu Marehemu Muhammad aliwafundisha kuwa adui zao ni Watu wa Kitabu (Wayahudi na Wakristo)!
 
Hivi kwa nini waIslamu wengine wanaona kama Wakristo ni maadui zao badala ya kuhangaika na wale wasioamini Mungu au wale wanaoabudu miungu? Waislamu hawa wanaona Mhindu anaemwabudu Krishna an miungu mingine ni sawa tu.

Kwa hiyo kwa Padri kusalimia hao wazee ndio imekuwa 'Zanzibar kufikishwa katika hali hii'?

Injinia,

Yet Uislamu na Ukristo sisi tuliletewa na Waarabu na Wazungu..zile imani zetu ja jadi tukaziacha eti wakasema na sisi tukakubali ni za kishenzi! Hata majina yetu ya Kiafrika na ya asili tukaacha, tukaanza kuwapa watoto wetu majina na Kizungu na Kiarabu! Yaani aibu kweli!
Wajapan, Wachina, Wahindi walikataa..je leo hii wapo wapi kimaendeleo?

Ndo maana nasema ni kaazi kweli kweli! Ni swala la mind set!
 
Msiwafanye kuwa marafiki zenu na mkawapa siri zenu ni matamshi ya Mmungu aliyotamka ndani ya kitabu chake kitukufu Quran alichokiteremsha katika mwezi wa Ramadhani.
 
Kwa hiyo kwa Padri kusalimia hao wazee ndio imekuwa 'Zanzibar kufikishwa katika hali hii'?
Injinia, mpe heshima yake stahiki/stahili, huyu ni Bishop Dr. Valentino Mokiwa, Mkuu wa Kanisa la Anglican la Tanzania. Na kwa wasio jua, ni Kanisa hili la Anglican ndilo lililolipia gharama za kuwakomboa watumwa waliokuwa wakimilikiwa na Waarabu mara baada ya kukomeshwa kwa biashara ya utumwa. Sio tuu, iliwalipia na kuwaachia huru, bali pia ni kanisa hili ndilo lililotoa waalimu wa karibu skuli zote za enzi za mkoloni, vinginevyo wenzetu wa huko, elimu yao ingebakia madrasa tuu!
 
Msiwafanye kuwa marafiki zenu na mkawapa siri zenu ni matamshi ya Mmungu aliyotamka ndani ya kitabu chake kitukufu Quran alichokiteremsha katika mwezi wa Ramadhani.

Kumbe dini yenu ni siri? Sasa kwa nini huwa mnalazimisha watu wafuate mafundisho yenu ilhali mmeelekezwa kuficha siri?
 
Haya ya malumbano ya kidini hayana maana kabisa. yamepitwa na wakati. Mi nauliza tu Marehemu Ndala kasheba na Maalim Seif ni ndugu?
 
Wakati mwingine inabidi mtu unyamaze tu. Hii chuki hiii inatoka wapi? maana watu wamefungwa na pepo wa chuki miaka yote. tatizo ni nini jamani? Hata kusalimiana jamani? mmmmmmh mimi nachoka kabisaaa:nono:
 
Muktadha ni muhimu, kama picha ilipigwa wakati wa msiba basi aliyeleta picha atakuwa anahoji wanaume kuchanganyika na wanawake msibani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom