LEO yako VIPI?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Yangu ilianza na kukutana na Rais wa CWT,Gratian Mkoba kwa mazungumzo mafupi. Baada ya hapo nikaelekea Mahakamani kabla ya kurejea ofisini na kisha nyumbani. Kiujumla leo yangu ilikuwa poa. Wewe je Mkuu?
 
Yangu haikuwa poa wala nini!kuna mchuchu kaniyeyusha appointment kaivuruga!
 
yan me leo cku yangu imevurugwa na kidudumtu kimoja mpaka ninatamani kukitoa roho!
 
Yangu himekuwa nzuri maana mambo nilio yategemea yamekwenda sawa!
 
Yangu ilianza na kukutana na Rais wa CWT,Gratian Mkoba kwa mazungumzo mafupi. Baada ya hapo nikaelekea Mahakamani kabla ya kurejea ofisini na kisha nyumbani. Kiujumla leo yangu ilikuwa poa. Wewe je Mkuu?

Mh wewe ni abeid(rama) nini?
 
Back
Top Bottom