Elections 2010 Leo wamerusha maji, kesho watarusha petroli..

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Huwa inaanza kama utani. Leo wanadhulumiwa kura zao tunasikia kuwa wanarusha chupa za maji. Lakini naamini kuwa hasira inavyoongezeka, kesho hizo chupa zitarushwa zikiwa zimejaa petroli, then utarusshwa moto.

Hawa askari wenye mabomu ya machozi wanajidai kutuliza watu wanaorusha chupa za maji. Lakini naamini siku askari akirushiwa chupa ya Petroli, na yale magwanda wanayovaa, atawaka hadi awe mshkaki.

Sitaki Vurugu Tanzania, Lakini tume ya uchaguzi, na serikali inataka kukaribisha hatari nchini...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom