Leo vipi leo?

Si wamepumzika...you know..kama mimi na wewe hivi!!lolz
na huo ndio ufafanuzi nilokuwa nausubiria, halaf bana senks ile kitu imekuwa successful, sasa hivi nina haraka nitakutafta kwa muda wangu, nitayarishie kawimbo kamoja ka kunichombeza chombeza.
 
Ohhh really??AWSOME...can't wait to hear all about it!!
Hehehhe....we unataka kuchombezwa wakati huwezi kuchombeza??Lolzz...ohh alafu usisahau next week!!Lasivyo una kesi!
 
unaongea kwa confidence sana leo
ngoja'nimalize homework' lol
halafu uone pm hazijibiwi lol
Hahahaha!! Ndio maana huu mwezi umekuwa butu sijapata PM hata moja kumbe ulikuwa unafanya mambo yako, umenikumbusha Gee aliulizwa kitu gani angependa kuona JF eti akasema PM zangu na za kwako...dah Gee sijui yuko mitaa gani leo
 
Ohhh really??AWSOME...can't wait to hear all about it!!
Hehehhe....we unataka kuchombezwa wakati huwezi kuchombeza??Lolzz...ohh alafu usisahau next week!!Lasivyo una kesi!

nguvu za kuchombeza zimepotea honey wazembe wameiba after shave yangu getto, wewe chombeza tu nikiludi kwenye mood lazima wakuonee wivu. Halaf kuhusu next week uskonde kabisa, everuthing will go as planned. kuhusu ya kwangu mimi nitakukumbushia faragha lol
 
Hahahaha!! Ndio maana huu mwezi umekuwa butu sijapata PM hata moja kumbe ulikuwa unafanya mambo yako, umenikumbusha Gee aliulizwa kitu gani angependa kuona JF eti akasema PM zangu na za kwako...dah Gee sijui yuko mitaa gani leo

heeeee
sikuiona hiyo?
alisema wapi?
GEE yuko 'addicted na juicy details' aisee lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom