Leo unakula msosi gani mchana?

mmoja kule mbeya alikuwa na hiyo tabia akirudi amelewa anaita 'we mwanamke leta chakula'
akipelekewa matembele anamdunda mke kama tenesi.

siku vijana wakamlia wazo acha wamchape, toka hapo ikawa heshima na adabu.

hahahaaaa na ole wako umpe ugali na matembele ....loh...ndoa hizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom