Leo twende porini

Sidhani kama hizi pic za Serengeti. Nitatafuta niwatumie zilikopigwa

Actually, These photos are from Thursday, Feb. 17 by someone from Centurion in Pilanesberg game reserve, South Africa . The guy in the white Volkswagen was trying to get past the elephant.

download

Actually, These photos are from Thursday, Feb. 17 by someone from Centurion in Pilanesberg game reserve, South Africa . The guy in the white Volkswagen was trying to get past the elephant.
Tuko more interested na episodes za tukio, na sio specifically wapi picha zilikopigiwa!
Tembo ni tembo, na haijalishi wako sehemu gani ya dunia!...ukileta ujuvi wanakuonyesha habari yake!

Nimekupata Preta, hatari sana huyu mnyama, vipi mwaka huu itakuwa wapi??

kukudokeza tu....naomba ununue swimming costume ya uhakika......venue utajulishwa....
me miss you bana.....long time ujue......

Tuko more interested na episodes za tukio, na sio specifically wapi picha zilikopigiwa!
Tembo ni tembo, na haijalishi wako sehemu gani ya dunia!...ukileta ujuvi wanakuonyesha habari yake!

khaaa.....sum pipo wengine bana.....

kukudokeza tu....naomba ununue swimming costume ya uhakika......venue utajulishwa....
me miss you bana.....long time ujue......

Hapana shaka, nitatayarisha, nilikuwepo huko last week, sikukaa sana, nilikutana na Sahara voice pekee

Hapana shaka, nitatayarisha, nilikuwepo huko last week, sikukaa sana, nilikutana na Sahara voice pekee
Mkuu, si mambo hayo...
By ze time nafika eneo la tukio mlipokuwa nikaambiwa na SV kuwa ushaondoka!...ni ni ni lakini?

wacha tu......he he he.....hivi HMethod ndio kaenda wapi siku hizi.....yeye si ndio alikuwa anampooza yule wa siku ile....hivi unamkumbuka huyu.....
200385_10150113294616267_744731266_6553587_7839445_s.jpg

Hii siku nilitamani ardhi ipasuke Derimto alikaa karibu yangu anaweza akaelezea maana yaliyoendelea sifahamu mpaka leo.

Mkuu,

Hujaipata location ya safari hii bado?

Kwa kumsaidia Preta ni kati ya Zenji na Mombasa!!

Najua utakuwa nasi!

Asante sana m/kiti ila usisahau ruhusa zote lazima zihakikiwe na kutoka kericho akigoma tutajikuta wenyewe na jamaa kadhiti mzigo wake.

Habari yangu njema. Inakuwaje hupokei simu yangu? Au ndo unakaribia kujifungua?

Kwa anzia leo wewe ni Sheikh Yahaya SNR, utawezaje kutabiri exact fact namna hiyo, sikuwezi.

Similar Discussions

Back
Top Bottom