Leo tunasherehekea send-off party ya msindima!.......hongera sana msindima

ongera sana mamaa msindima uko juuna ongera sana kwa kupata mwenzakona makapera wte uku jf waige mfano
 
Ooh,jamani!Namtakia kila la heri katika send off pamoja na harusi yake..Zaidi ni katika ndoa yake!
 
Muda si mrefu nimetua hapa. nachoweza kusema, send off party ilikuwa ya kufa mtu japokuwa bia hazikuwepo (msindima ana kaubia ka kudumu na Bwana Yesu). Bahati nzuri ukumbi haukuwa mbali na ka grocery flani hivi, kanauza bia kama karanga....

Hiyo arusi ya kesho wakwe zetu wana kazi ya kufanya, vinginevyo itafunikwa vibaya............

HONGERA MSINDIMA. Mungu akujalie upate watoto wengi waizunguke meza yako wakati wa chakula cha usiku. Wale wasishibe ili upate akili ya kutafuta zaidi na zaidi na zaidi..........
 
mi nina uhakika bado nimelewa!manaake nilishindwa kumtofautisha bibi-harusi na mpambe wake!
hivi we ndo ulikuwa na yule mhudumu mnajadiliana kudumisha desturi?
 
japokuwa bia hazikuwepo (msindima ana kaubia ka kudumu na Bwana Yesu).

Yeah... ilipendeza sana... espeshali kwa sisi wadau wa roho mtakatifu.... Bahati mbaya naondoka leo kwenda Nairobi hivyo sitakuwepo kwenye harusi... Nawatakia kila la kheri katika ndoa yao...
 
mi nina uhakika bado nimelewa!manaake nilishindwa kumtofautisha bibi-harusi na mpambe wake!
hivi we ndo ulikuwa na yule mhudumu mnajadiliana kudumisha desturi?
Tatizo unalewa vibaya yule alikuwa mdogo wake msindima. tulikuwa tunajadili mambo ya MMU

Yeah... ilipendeza sana... espeshali kwa sisi wadau wa roho mtakatifu.... Bahati mbaya naondoka leo kwenda Nairobi hivyo sitakuwepo kwenye harusi... Nawatakia kila la kheri katika ndoa yao...
Nenda na amani askofu. umesamehewa dhambi zako zote.
 
Hapo kwenye " ukikubali kuolewa kubali kulala bila......................" nimeongezea hahahahahahaha
 
He he heeee..... Amen... (Na wewe usitumie kisingizio cha wetha kudumisha mila...)lol
HEHEHEHE!sasa baba askofu unataka desturi zienziwe bila VISINGIZIO?si itakuwa ubakaji?:A S tongue:
 
NIlihudhuria SEnd-Off hii hapo jana...
Ilikuwa nzuri mno hakuna mfano!..Haikuwa na vurugu za mapombe kama ambavyo wengi walikuwa wakiguna kulaumu!...
ILianza mnamo saa 1.15 za usiku na kuisha mnamo saa5.kamili.
Lkn jambo moja nililofurahishwa nalo ni juu ya unyenyekevu alio nao Msindima. Ni mpole na amejaa hekima katika kila analotamka!
Huyu binti ni mcha Mungu sana, na mwimbaji maarufu wa kwaya(sijui kama ametoa SINGO). Wachungaji wake kibao walimsifu sana, wakisema amefanikiwa katika mambo makuu manne, ambayo ni KUMHESHIMU Mungu, Wazazi, Kanisa na Yeye binafsi.
ILipofika zamu ya Utambulisho, MC alimsimamisha Msindima kutambulisha ndugu wa upande wake, ambapo lifanya hivyo kwa umakini wa ajabu, akitutambulisha pamoja na sisi marafiki tuliofika kushuhudia tendo hilo.
Nina imani Msindima ataishi kwa amani na mumewe mtarajiwa, ambaye hapo jana alikuwa mevalia suti ya kisasa ya kiitaliano ya mbunifu Pacchio.
Mungu aibariki sana familia hii-tarajiwa, na awape kila watakaloomba!
 
Welcome back PakaJimmy...!!
 
Welcome back dear brother.
 
Back
Top Bottom