Leo tunasherehekea send-off party ya msindima!.......hongera sana msindima

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,034
MABIBI NA MABWANA!
WAPWAAZ NA MA-BINAMUUUZ............

kwa heshima na taadhima ninaomba KWA PAMOJA TUITAMBUE SEND-OFF PARTY ya mkuu MSINDIMA huko ARUSHA!...INAYOFANYIKA LEO HII...!hapa ninapoirusha hii sredi nipo ARUSHA(pretta na lily-flower naomba msinitafute,niko bize sana).Kuna baridi kiaina lakini HABARI NDIO HIYO!

KWA NIABA YA JAMIIFORUMS,kwa niaba ya mwenyekiti wa kamati ya maandalizi(DAR ES SALAAM BRANCH ndugu x-pin),kwa niaba ya wapwaaaz wote,kwa niaba yenu mnaosoma...

NIPO HAPA KUMTAKIA KILA LA KHERI mam'aa la MSINDIMA!naona mama amejipanga sawasawa na ameamua kuachana na biashara ya ''kula baa''

KWA YEYOTE MWENYE MAPENZI MEMA!naomba anipiemu nimpe namba za msindima amtakie kila lililo jema!(michango inaendelea!hapa askofu lazima akimbie.

BASI TENA WADAU NAOMBA NIRUDI UKUMBINI kuendelea na maandalizi zaidi

HONGERA SANA MSINDIMA!
NAMALIZIA KWA TAFAKARI YA LEO INAYOSEMA:ukikubali kuolewa.........
 
huyu msindima HAKI YA NANI ASINGEKUWA MSHIKI mi nilishagatuma hadi washenga arusha!.....

nahitaji mtu ANISHAWISHI NIRUSHE PICHA YAKE HAPA
 
jumamosi ni harusi kama kawaida!karibuni sana arusha jamani tumsindikize dada yetu mpendwa
 
hahaaaaaaaaaaaa.... kweli vijana damu bado moto!!! haya baba
 
namtakia kila la heri,sherehe njema,heri na fanaka katika maisha mapya ya ndoa
 
ubarikiwe mama!tunashukuru sana kututakia mema!utuombee pia turudi salama dar maanake ajali zimekuwa mingi sana
 
jamani jamani all the best msindima tuko pamoja mungu awatangulie katika hili jambo jema
 
hehehe!
festiledi hebu mpe kidogo hints huyu msindima kwamba jumamosi usiku atakabiiliana nanini:A S tongue:
 
KWA YEYOTE MWENYE MAPENZI MEMA!naomba anipiemu nimpe namba za msindima amtakie kila lililo jema!(michango inaendelea!hapa askofu lazima akimbie.[/B]

NAMALIZIA KWA TAFAKARI YA LEO INAYOSEMA:ukikubali kuolewa.........
...:washing::baby::A S 12::hurt::angry::fencing::A S-cry::rip:

Aisee.... sijui kwa nini hujapata mchango wangu wa "hali na mali na huduma za kiroho" mpaka leo....Enewei, nina muwakilishi huko arusha atawasilisha mchango wangu... I hope safari hii tutakula mbuzi wa ukweli (sio wa kuchora)...lol :A S 39:
 
i am sure hawezi kuwa PII JEI:banplease:
 
Welcome to our club msindima, no more girls time here!
have a very enjoyable day!
 
MABIBI NA MABWANA!
WAPWAAZ NA MA-BINAMUUUZ............

kwa heshima na taadhima ninaomba KWA PAMOJA TUITAMBUE SEND-OFF PARTY ya mkuu MSINDIMA huko ARUSHA!...INAYOFANYIKA LEO HII...!hapa ninapoirusha hii sredi nipo ARUSHA(pretta na lily-flower naomba msinitafute,niko bize sana).Kuna baridi kiaina lakini HABARI NDIO HIYO!

KWA NIABA YA JAMIIFORUMS,kwa niaba ya mwenyekiti wa kamati ya maandalizi(DAR ES SALAAM BRANCH ndugu x-pin),kwa niaba ya wapwaaaz wote,kwa niaba yenu mnaosoma...

NIPO HAPA KUMTAKIA KILA LA KHERI mam'aa la MSINDIMA!naona mama amejipanga sawasawa na ameamua kuachana na biashara ya ''kula baa''

KWA YEYOTE MWENYE MAPENZI MEMA!naomba anipiemu nimpe namba za msindima amtakie kila lililo jema!(michango inaendelea!hapa askofu lazima akimbie.

BASI TENA WADAU NAOMBA NIRUDI UKUMBINI kuendelea na maandalizi zaidi

HONGERA SANA MSINDIMA!
NAMALIZIA KWA TAFAKARI YA LEO INAYOSEMA:ukikubali kuolewa.........
Hongera sana msindima|! hiyo tafakari naomba niimalizie....usitafute vya pembeni......
 
Back
Top Bottom