Leo siku ya unawaji mikono duniani ina maana gani kunawa siku moja tuu ya maadhimisho

Alagwa

Member
May 30, 2012
95
83
Baadhi ya mambo ni ya kupuuzi sana kama hii siku ya leo watu wanaadhimisha siku ya unawaji mikono siku moja ya leo lakini kesho unakula bila ya kunawa kwanini tunaigiza maisha jamani watanzania BE REAL KAMA HAUNAWAGI MIKONO LEO ACHA KUIGIZA ENDELEA TUU ALAFU YAKIKUPATA TUTAKUZIKA TUU
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom