Leo nimetoka hospitali.

Mwıta25,
Upungufu wa Kınga MWIlını huanza taaaratıbu!
Nakushaurı ukacheck cd4 pengıne zımeshuka sana!
Pıtıa ofsını kwangu nıkupe reagents!
Kula vızurı hasa matunda, fanya mazoezı na tenga muda mwıngı wa kupumzıka sıo kutwa kucha utırırıka na threads humu JF ıs absolutely not recommended by medıcal advısers!
 
Pole mkuu,
jitahidi unywe maji mengi ili kupunguza sumu
ya kwinini mwilini mkuu wangu,
mchango wako jf/kwenye jamii ni muhimu sana.
 
Back
Top Bottom