Leo nimetoka hospitali.

Huyu jamaa alikuja na kathread kake eti kaota ndoto mara kupata fahamu akajikuta GAMBA limevuka!!! Lakini sio wa kuaminika sana

Huyu jamaa ni ndumilakuwili,akisema moja ujue anamaanisha 2,nafikili kuna fuse zimekata kwenye ubongo wake.
 
Umri wangu wa zaidi miaka mitatu hapa jamvini sijawahi kupata BAN labda sijui ufanyeje, vipi homa inapanda na kushuka? Dada yako kaja kukujulia hali ila naona kaanza na kashfa sijui kwasababu na wewe ulisema kuwa kala BAN? mMmmh haya MWITA

Nitahakikisha unakula ban japo ya siku tatu
 
Hii thread haitakamilika bila post ya dadangu AshaDii.
 
Hii thread haitakamilika bila post ya dadangu AshaDii.

Kumbe umeanzishia thread watu wengi.....nadhani hii ni baada ya kuona Dadaako wa kwanza hajakusapoti kaishia kukuchanachana kisha kaingia mitini!
 
Kumbe umeanzishia thread watu wengi.....nadhani hii ni baada ya kuona Dadaako wa kwanza hajakusapoti kaishia kukuchanachana kisha kaingia mitini!

Nadhani post zako zinatosha sasa.
 
Hii thread haitakamilika bila post ya dadangu AshaDii.

Kumbe umeanzishia thread watu wengi.....nadhani hii ni baada ya kuona Dadaako wa kwanza hajakusapoti kaishia kukuchanachana kisha kaingia mitini!
 
Pole sana kwa kuugua. Nahisi itakua umeyaona kwa mazingira ya hospitali yafuatayo
1. Morali ya watoa huduma ya afya iko chini (nachukulia umebahatika kuhudumiwa na na manesi na sio attendants).2. mazingira kwa ujumla yanakutega kulipia kila dk inayopita(hii haijalishi "ulipumzishwa private au government hospital Kama lie pale kijitonyama.
Hayo ulioyaona yanasababishwa na udhaifu wa usimamizi mzuri wa sekta ya afya.ongezea basi kwa uzalendo Au ilikua TRAUMA CENTRE?
 
dah! Pole sana mkuu,hao mbu walitumwa na chadema waje wakuambukize. Ugua pole mkuu,rudi tena uchangamshe baraza. Nalog off
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom