Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,263
- 16,288
walimpa nani?Hao waliingia bungeni kwa umahiri wa kutoa tigo, solution ni kufuta viti maalum havina tija kwa Taifa.
walimpa nani?Hao waliingia bungeni kwa umahiri wa kutoa tigo, solution ni kufuta viti maalum havina tija kwa Taifa.
mfalme alishamsamehe banaaaaHivi viti maalum mi naona havina faida yoyote kwa taifa. Ebu jiulize" Vicky Kamata anawakilisha mkoa wa Geita KIBUNGE, huku sasa hivi tunaambiwa suala la mikoa mpya hamuna tena. Vicky Kamata wakati anateuliwa ilikuwa aje awakilishe mkoa wa Geita, nasasa hivi hakuna tena mkoa wa Geita sasa je, Vicky Kamata yuko tayari kujiuzuru? Na kama atakataa kujiuzuru je, huko bungeni atakuwa anawakilisha mkoa gani?
teheteheteheeee u made ma dayMfano upo kwa Bibi kiroboto anavyoliharibu Bunge
Mkuu pdidy,
Na wewe em jifunze kuandika vizuri basiii.... nimepata shida sana kuonganisha sentensi zako kaka, maana hata nukta(.) huweki..! ila nadhani ujumbe umefika, viti maalum viangaliwe upya sasa.