Leo nimefunga biashara ya mtu ya Magazeti

Safi sana homeboy, wasalimie WanaYanga huko Negezi, Kanawa, Ikonda, Wela, Uchunga, Mhunze hadi Kishapu. Yanga oyee! Mwenye chuki ajinyonge.
Salaam zimefika mkuu, Hahahahaha!! Eti tukishinda wanatuhusisha na mafisadi homeboy, wananiboa mie!! Yanga isihusishwe kabisa na mafisadi, ni rangi tu jamani!! Hahahahaha
 
yanga wanamichezo bwana , unakumbuka nyie mkistukia kupigwa nyingi mnakimbia half time hamrudigi,, mara mbili mmeikimbia yanga half time,. Pole sana na heli tunaompigia magoti jizi la mali ya umma manji kuliko nyie mnaokula rambirambi, nafkiri mnaombea afe mwingine mpate kula rambirambi tena
ndomyana
Yanga hajawahi kugoma kupeleka timu uwanjani?, hivi yanga mnavyo chonga hivi ingekuwa nyie ndiyo mmetufunga tano bila ingekuwaje maana sasa hivi masaburi yenu haya tulii kisa mmemfunga Azam, halafu kwa taarifa yako siyo kwamba rambirambi tumekula rambirambi hatujaletewa mtu alie pendekezwa kusimamia mirathi ya Mafisango na ubalozi wetu nchi DRC ume tuonya kuwa makini na swala hilo hivyo kama leo wakileta docs za mtu atakae simamia mirathi ya patrick simba hatuwezi kula pesa ya rambirambi na ikumbukwe Mafisango ana tutai pesa si ya rambirambi tu bali mishahara yake miwili, pesa ya bonus ya ubingwa na marupurupu mengine. mtani acha kukurupuka.
 
Last edited by a moderator:

Wacha nidandie daladala iliyo katika mwendo wa pole mlangoni,
Mtani Crashwise wewe ndo unakurupuka,kuna tofauti kubwa sana kati ya rambirambi na haki nyingine za msingi za Marehemu hizi(rambirambi) tunazozipigia kelele hazihitaji sijui mpatiwe documents za kumu'identify mtu wa kuzipokea,mzigo ule ambao mimi binafsi nilishiriki kuutengeneza(nilichangia) ulitakiwa ukabidhiwe kwa familia ya marehemu pamoja na mwili wa marehemu,haikufanyika ksbb ya uhuniuhuni wa Viongozi wenu,kinachoshangaza wapenzi na Wanachama wa Simba mnaona hilo jambo kuwa ni la kawaida...tutabishana sana lkn wenye akili zetu tunaona hiyo(kula rambirambi za Jembe) ndo laana iliyowafanya mfanye vibaya,embu wapeni mzigo wao wale Yatima(watoto wa jembe) muone kama hamjarudi kwenye form.
 
YANGA OYEEEEE!

Kama wewe ni mwenzetu press "LIKE" hapo chini, kwa bahati mbaya nyie kina Simba na Azam hakuna kitufe cha ku-dislike hapo.
 
Back
Top Bottom