Leo nimefunga biashara ya mtu ya Magazeti

Anselm

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
1,710
291
Kijana mmoja aliyekuwa anauza magazeti ya siku ya leo tarehe 29.07.2012,alijikuta akilazimika kurudi nyumbani mapema baada ya kujikuta akiniuzia magazeti yote mimi
PICT0009.JPG PICT0009.JPG
Baadhi ya magazeti hayo,mengine yanaendelea kulia na kushoto.
 
haya magazeti ya elfu 7 ndo yamrudishe nyumbani?
acha utoto

Hutaki unaacha,umekunywa panadol lkn?...nina uhakika wewe ni mmoja kati ya wale mliojeruhi mioyo yenu kwa maumivu,kunywa panadol pumzika Mwana
 
acha mjipooze maada zile tano mtungi siyo mchezo sijui mtazilipa lini halafu mnamzo msujudi fisadi manji atakiwaambia kuinama mtainama..

Kwenye siasa mitusi hata hapa kwenye sports hayo hayo? Utakuwa una matatizo sana ndugu.
 
acha aibe kwani sisi tunafaidi nini siku zote, kikubwa ni ushindi tu!! ndio raha yetu!!!!!!!!!!!!!!mtajijuuuu
 
yanga wanamichezo bwana , unakumbuka nyie mkistukia kupigwa nyingi mnakimbia half time hamrudigi,, mara mbili mmeikimbia yanga half time,. Pole sana na heli tunaompigia magoti jizi la mali ya umma manji kuliko nyie mnaokula rambirambi, nafkiri mnaombea afe mwingine mpate kula rambirambi tena
 
duh ! kumbe wewe ni mwana yanga mwenzangu? ila best tujipongeze kwa sana tu nawajua mahasimu wetu wanamtafuta mchawi wao ndo maana unawaona wanakuja na mitusi kwenye starehe lol! YANGA YANGA YANGA YANGA YANGA!
 
acha aibe kwani sisi tunafaidi nini siku zote, kikubwa ni ushindi tu!! ndio raha yetu!!!!!!!!!!!!!!mtajijuuuu

Hakuna mtu mwizi kama Rage, alishanyea ndoo gerezani kwa ufisadi ndani ya FAT. Huyo Rage wenu amechangia nini Simba? Manji aliwahi kutoa Mil. 100 watu wakaingia Kirumba bure, huyu ni mpenzi wa kweli wa Yanga. Manji ana mali nyingi kuliko Yanga, sasa aibe nini? Rage hana mali kama Simba, sasa kwa nini asiibe?
 
usisahau alivokula rambirambi ya mafisango
 
yanga wanamichezo bwana , unakumbuka nyie mkistukia kupigwa nyingi mnakimbia half time hamrudigi,, mara mbili mmeikimbia yanga half time,. Pole sana na heli tunaompigia magoti jizi la mali ya umma manji kuliko nyie mnaokula rambirambi, nafkiri mnaombea afe mwingine mpate kula rambirambi tena

Chifu, ebu tuambie mara ya mwisho Kandambili kuifunga Taifa Kubwa goli nyingi ni lini vile?!?!
Maana hapo kwenye bold ni kama unawasema wazee wa Kandambili vile - hivi karibuni walivyokimbia pale CECAFA.
 
Hakuna mtu mwizi kama Rage, alishanyea ndoo gerezani kwa ufisadi ndani ya FAT. Huyo Rage wenu amechangia nini Simba? Manji aliwahi kutoa Mil. 100 watu wakaingia Kirumba bure, huyu ni mpenzi wa kweli wa Yanga. Manji ana mali nyingi kuliko Yanga, sasa aibe nini? Rage hana mali kama Simba, sasa kwa nini asiibe?

Chifu, wazee wa Kandambili mnapenda vya bure!!!! Ndiyo maana wengi wenu ni wapenzi wa chama DHAIFU - wazee wa ubwabwa na kanga.
 
Chifu, ebu tuambie mara ya mwisho Kandambili kuifunga Taifa Kubwa goli nyingi ni lini vile?!?!
Maana hapo kwenye bold ni kama unawasema wazee wa Kandambili vile - hivi karibuni walivyokimbia pale CECAFA.

bwana mkia siku ile cecafa ni nja zenu ziliwapeleka kumbuka wote hatuenda kwenye pre-match kufika sa7 ukafikiria tumbo lako mbio tukastuka upo uwanjani,. Lakini we ulipigwa3 first half second half ukaweka mpira kwapani, we kweli mtani mjanja
 
Back
Top Bottom