Leo niko SERIOUS ....

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
15,379
funny_african_bar_640_09.jpg

Hii inapatikana maeneo ya BONYOKWA.......................!
 
Mara ya mwisho Mi kuingia hapa nikiwa na Tsh.550,000/ nilitoka na Tsh.2000/ ya Toyo tu!

Hakianani sitoweka mguu tena pale!
 
Mara ya mwisho Mi kuingia hapa nikiwa na Tsh.550,000/ nilitoka na Tsh.2000/ ya Toyo tu!

Hakianani sitoweka mguu tena pale!
LiverpoolFC Kweli wewe unapajua, Mimi niliwahi kukomeshwa wiki iliyopita, wenyewe wanapaita "Mwana Ukome"
 
Last edited by a moderator:
Tunaomba mchanganuo mkuu, maana hiyo pesa hata Kilimanjaro Kempiski humalizi.
Matola kwanza hakuna hoteli inayoitwa Kilimanjaro Kempiski.......
Kama unataka kupata mchanganuo, nakuomba utie kwato mahali hapo hal;afu ndio uje kusimulia hapa...............
 
Last edited by a moderator:
Matola kwanza hakuna hoteli inayoitwa Kilimanjaro Kempiski.......
Kama unataka kupata mchanganuo, nakuomba utie kwato mahali hapo hal;afu ndio uje kusimulia hapa...............
Mtambuzi nafahamu sana kama jina la Kempinski limebadilishwa ila wengi awako aware na mabadiliko hayo, point ni kwamba Kimara hakuna sehemu ya kutumia pesa hiyo, lete mchanganuo tuache porojo.
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi nafahamu sana kama jina la Kempinski limebadilishwa ila wengi awako aware na mabadiliko hayo, point ni kwamba Kimara hakuna sehemu ya kutumia pesa hiyo, lete mchanganuo tuache porojo.
Matola uko na kampani ya watu 6, halafu kila mtu ana totoz kisha mnaagiza mbuzi mzima na hapo zinatembea Jack Daniel, Bierrr na Gin za kufa mtu, mzee laki tano haipindui
 
Last edited by a moderator:
Hehehe mdingi inaelekea uchunaji wa kichaga unaufahamu! Kuna mtu akikaa kwenye meza anachangia stori tu, mueleze Matola aelewe! Afu anawapigia na watu anawashawishi waje!
Ila hii bar mbona imefanana na kwao marehemu Osama?
 
Mwanangu King'asti , huyu Matola sijui anaishi kipande ipi hapa nchini, nakumbuka wakati naishi Mwananyamala miaka ya mwanzoni mwa 1990 , kulikuwa na eneo moja maarufu kwa kuuzwa Gongo aka Kachaso palibatizwa jina jipya la LAKI SI PESA, kuna jamaa alifika anga hizo na laki moja siku ya Ijumaa, mpaka Jumapili anaondoka hapo alikuwa amebakiza mia tano na ndio kwa mshangao akasema "jamani laki si pesa" na ndio mwanzo wa eneo hilo kubatizwa jina hilo. Jamaa alizungukwa na mabinti waliovaa kanga moja, zikawa zinamtoka tu....................
 
Last edited by a moderator:
Ni kama msikiti na huo waya ni wa yale maspika kwa ajili ya kuwakera watu alfajiri na wengine kupika cha asubuhi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom