Leo Ni Uchaguzi wa Serikali za Mitaa SA (Local Government South Africa)

Mzalendo80

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
2,508
1,337
Juzi na Jana South Africa kulikuwa na Special Vote, Police, Madokta na Manesi, Wanajeshi, Wazee na Wagonjwa wakioa kuwa wamelazwa Hospitalini wakichagua madiwani, wakuu wa wilaya (Vitongoji) mameya na nfasi nyingine katika serikali za mitaa. Leo ni kupiga kura kwa watu wote.

Jamani watanzania wenzangu Katiba ni muhimu kwetu sisi hasa sisi walalahoi itatusaidia sana kuchagua watu tunaowataka.

Lazima katiba mpya itungwe ili kudhibiti ujinga wa kuteua au kupeana vyeo kiushikaji sio Kila kitu ni Rais anateua kana kwamba nchi ni ya kifalme. Katiba mpya ni Muhimu kwetu Watanzania ili na sisi tuweze kuwabana Mafisadi wanotumia vyeo vya Watanzania kwa manufaa yao.
 

Attachments

  • ANC.jpg
    ANC.jpg
    850.8 KB · Views: 38
  • ANC (1).jpg
    ANC (1).jpg
    766.2 KB · Views: 37
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom