Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,598
Mimi mwaka huu nina mpango wa kuanzisha chama changu cha siasa!
Hicho siyo chama kwani chama hakiwezi kuwa chako bali kinakuwa chenu. Chako peke yako ni kichwa tu na vitu vingine.....!!
Mimi mwaka huu nina mpango wa kuanzisha chama changu cha siasa!
Hicho siyo chama kwani chama hakiwezi kuwa chako bali kinakuwa chenu. Chako peke yako ni kichwa tu na vitu vingine.....!!
Hapa umeniacha kidogo DC- kichwa kipi unazungumzia?
Hapa umeniacha kidogo DC- kichwa kipi unazungumzia?
MJ1 nambie what u have been thinking of Kaizer recently?
Kaizer, thread inakutata umwambie na siyo kumuuliza(tell her, not ask her day)! Au bado sina glucose ya kutosha! Ngoja nikatafute msosi!
Mj1 -nina usongo wa kukuona live,love you beibe.
Kaizer- i miss you
Dark city- Nakuheshimu,ila jina lako naliogopa,mji wa giza? duu!
Masaki- You are my gud friend
Soulbrother - Ubarikiwe na Bwana.
nani mwingine.....
Chrispin-...................
FL1-No Komenti

Hii kweli ni tell me day. Sitamwambia mtu ulichonambia kwa sababu tumetakiwa tutunze siri.
Hata hivyo jina lisikupe taabu. Linalenga kuwafanya watoto wamwogope baba tu; ingawa baba mwenyewe ni poa sana kwa waliovuka hicho kiunzi. We endelea hivyo hivyo. Ngoja nikirudi labda nitakuwa na kitu cha kukwambia wewe au hao washikaji wengine. Naona J3 inakuwa nzuri. My boy wakati anajifunza kuongea alipenda sana kusema dadaye (badala ya baadaye)! Tumetoka mbali kweli. Dadaye!
Mj1 -nina usongo wa kukuona live,love you beibe.
Kaizer- i miss you
Dark city- Nakuheshimu,ila jina lako naliogopa,mji wa giza? duu!
Masaki- You are my gud friend
Soulbrother - Ubarikiwe na Bwana.
nani mwingine.....
Chrispin-...................
FL1-No Komenti
Mj1 -nina usongo wa kukuona live,love you beibe.
Kaizer- i miss you
Dark city- Nakuheshimu,ila jina lako naliogopa,mji wa giza? duu!
Masaki- You are my gud friend
Soulbrother - Ubarikiwe na Bwana.
nani mwingine.....
Chrispin-...................
FL1-No Komenti
ivoeeh? nilidhani ni sopulbrother ndo tumwambia nikaona imekaa kushoto!
basi tujisemeage tu kuanzia vichwa na vyama vya siasa!
Masaki chama utakipa jina gani? Nasikia kuna watu wanataka kurejesha TANU!
Maneno yangu kwako ni siri.Wachina wasije wakaiga,wakatengeneza feki.He! Haya bana!
Mj1 -nina usongo wa kukuona live,love you beibe.
Kaizer- i miss you
Dark city- Nakuheshimu,ila jina lako naliogopa,mji wa giza? duu!
Masaki- You are my gud friend
Soulbrother - Ubarikiwe na Bwana.
nani mwingine.....
Chrispin-...................
FL1-No Komenti
Soulbrother leo naomba unitoe out twende zetu kubadilishana mawazo nje ya JF ...usijekusema ooh sijakwambia .sijui nini hapana
Mimi au mwingine?