leo ni siku yetu watu tunaotumia mkono wa kushoto

halafu inarithisha kwa jinsia tofauti na uliyonayo,mfano kama baba ni mashoto,mtoto wa kike anaweza kuwa mashoto,na viceversa!mimi ni mashoto,mwanangu wa kiume ni mashoto,na mimi nimechukua kwa baba zangu,nao wameichukua kwa mama yao ambae ni bibi yangu.hii hali iko kwa mashoto wenzangu kama kumi ninaowafahamu,je nyie wenzangu wa JF kwenu ikoje?

je mnajua kwamba kila binadam anatakko kubwa na dogo? kwa hiyo nyinyi leftist, leo pia mumepewa zawadi nana yule anaefanana na rais wa zimbambwe bungeni leo? kwa hiyo hata mipunyenye yenu inayofanya left drive? naomba majibu
 
Mimi pia mwanachama, ila sikujua kama kuna hii sherehe. Ila huyu mate wangu mpaka kula chakula anakamata kaw left hand, naona mwenzetu kalemaa sana huyu

hapana usimcheke huyo mate..hata mimi ni hivyo hivyo siwezi shika kijiko wala umma kwa mkono wa kulia...nakumbuka nilianza darasa la kwanza (mi sikupita chekechea) baba alimwambia mwali wangu ahahikishe situmii mkono wa kushoto katika kuandika..so nilipatwa na shida kidogo lakini mwalimu mkuu akamwambia mwalimu wangu wa darasa aniache na asiwe ananipiga....so tangu mda huo niko hivyo na hata mpira natumia mguu wa kushoto tu...hahahaha..ndo hivyo bana...
 
Hapana simcheki mkuu maana mimi pia natumia mkono wa kushoto kwa chakula kwa kijiko au uma, ila ninapokula kwa mkono natumia wa kulia si wa kushoto,
 
hapana usimcheke huyo mate..hata mimi ni hivyo hivyo siwezi shika kijiko wala umma kwa mkono wa kulia...nakumbuka nilianza darasa la kwanza (mi sikupita chekechea) baba alimwambia mwali wangu ahahikishe situmii mkono wa kushoto katika kuandika..so nilipatwa na shida kidogo lakini mwalimu mkuu akamwambia mwalimu wangu wa darasa aniache na asiwe ananipiga....so tangu mda huo niko hivyo na hata mpira natumia mguu wa kushoto tu...hahahaha..ndo hivyo bana...

Huwa najiuliza sana hivi hao wanaotumia mkono wa kushoto wakiwa msalani wanatumia mkono wa kulia?????????
 
You are obviously right.
kaka mimi kula siwezi tumia mkono wa kulia nakuwa very uncomfortable i prefer spoons and forks to hide this anomally
sijui wenzangu inakuwaje?????
 
Leonel Mess naye ni mashoto....freemason wengi ni mashoto.............
 
You are obviously right.
kaka mimi kula siwezi tumia mkono wa kulia nakuwa very uncomfortable i prefer spoons and forks to hide this anomally
sijui wenzangu inakuwaje?????
That is a naked truth mkuu.......hata niwe ugenini msoc nala na mkono wa kushoto kama kawa na najiona poa tu!
 
Kaka, mume, mtoto wote mashoto. Nimegundua nao hawajui hii siku. Ngoja niwatonye leo hata kama imeptia wanitoe out for soda! lol Hongereni jamani.
 
Hehe! nimipata mijawabu, napenda diving ,painting my hobbie,yes si sahau mambo kijinga jinga, na kabinti changu cha miaka 3 nacho mishangazo mtaani uelewa wake bila kusahau living room walls kaigeuza painting canvases,kumbe sababu ya mishoto!halafu huu ni mkono aminifu ndio maana umeruhusiwa kutumika kusafisha naniliu,si unajua kono la kulia lilivyo hodari kwa naniliu?sasa wewe uttakubali kulipeleka kono la kulia kwa naniliu yako?thubutu!
 
Back
Top Bottom