leo ni siku yangu ya kuzaliwa

happy_birthday_rose.gif

Pokea zawadi yangu ya siku ya kukumbuka siku yako ya kuzaliwa kwako. Kila la kheri mkuu wangu MUNGU wa Mbinguni akupe umri mtimilifu.
 
Kwanza napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kuniweka mpka leo hii na kutimiza umri nilioufikia,wapo wengi wao hawajafikia umri wangu,Pili nawashukuru wazazi wangu kwa kunilea,kunisomesha na kufikia hapa nilipofka,mwisho ni kwa ndugu,jamaa na marafiki kwa ukarimu wenu kuwa nami tokea nazaliwa mpka sasa,Nawapenda wote...

Una uhakika ni siku yako ya kuzaliwa? au ni tarehe yako ya kuzaliwa? au unajikumbusha siku uliyozaliwa? Siku uliyozaliwa imetoka na hairudi tena.
 
Back
Top Bottom