Leo ni siku yangu ya kuzaliwa,naishangaa sana siku ya leo

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Naishangaa siku ya leo,Siku ambayo nilizaliwa.
Leo naishanga kwa kua ni moja ya siku mbaya kwangu,siku ambayo Bibi yangu kipenzi anazikwa tena mimi nikiwa nimeshindwa kuhudhuria mazishi yake.

Nakumbuka mara yw mwisho kuachana na bibi,nilikua na muaga,nikimuuliza nitakapo lejea ungependa nikuletee nini? alijibu kwa hudhuni sana akajibu acha tu mjukuu wangu kwani hutanikuta......,nikamuuliza sitakukuta utakuwa wapi? Bibi alijibu nitakuwa tayari Mungu kaishanichukua.

Tarehe 20 aug,Bado naishangaa siku hii ya leo.
 
pole sana mkuu, lakn kwann hukwenda kwny mazish?
charminglady huwezi amini aise! Economically niko vibaya huwezi amin,emu fikiria nimetoka kulipa rent,namambo kadhaa wakadha ambayo ni punde yametoka kugharimu pesa,kwakeli kipindi hiki sitaki madeni.alafu siunajua mambo ya vibarua vingine hivi,ukiomba ruhusa wanakwambia wao wanatambua mzazi,wakwe na watoto bas,ukisema ufanye ujanja utoroke,siku iz dunia kijiji inalik faster
 
Last edited by a moderator:
Umeshindwa kuhudhuria mazishi ya nyanya wako kwa sababu ya kushake bomboo.
Full Stop.
 
happy belated birthday...sa ulitakiwa uje hapa toka asubuhi unatujulisha jioni wakati siku ishaisha au ulikua unatunzwa leo na mamaa?? ndio umefunguliwa mlango wa chumba nini? :happy:
 
am in sad tranguility stuation sir!

Mr. Although their's no words can really help to ease the loss you bear, just know that you are very thought and prayer.
Kisha jipe jibu kua a FLOWER (mean grand'ma) yatanyauka au sinyaa (kufa)
But the SEED (mean Ruhazwe Jr) remain !
To live in hearts we leave behind is not to die .
 
Mr. Although their's no words can really help to ease the loss you bear, just know that you are very thought and prayer.
Kisha jipe jibu kua a FLOWER (mean grand'ma) yatanyauka au sinyaa (kufa)
But the SEED (mean Ruhazwe Jr) remain !
To live in hearts we leave behind is not to die .

real mkuu,but hard time is hard time mkuu....ni sawa na mtu awe anamwamin sana mtu kama kakobe nk,akwambie chukua hii sumu unywe lakini tumeiombea ina full upako wala hauwezi kufa!unadhani itakuwa nyepes kunyweka?...the same to me,imekua ngumu kumeza japo nimeza kuweka kinywan
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom