leo ni siku ya wajinga lakini hii sio fair....

audacious

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
239
390
wakuu haya ni ya kweli yametokea leo asubuhi,
kuna rafiki yangu mmoja anampenda sana msichana mmoja hivi..na amekuwa akimueleza lakini yule mschana amekuwa akimkatalia na kusisitiza eti waendelee kuwa marafiki,wamekuwa marafiki kwa mwaka mmoja sasa.sasa leo asubihi mida ya saa3 akanipigia cmu kunieleza kilichomkuta kwakweli alikuwa amenyongonyea sana. nikamuliza tataizo nini? akasema leo alipoamka tu alikuta sms kutoka kwa huyo msichana akimueleza kuwa anampenda sana,waka chart kama dk10 then akashangaa anpigiwa cmu na huyo msichana anamwambia..john leo ni cku ya wajinga so nilikuwa nakutania...jamaa imemuuma sana anasema kamuharibia cku yake.so alinipigia cmu kuniomba ushauri kama alichokifanya huyu demu ni sahii au sio na achukue hatua gani juu ya hili swala coz limemuumiza sana.tusaidiane ktk ushauri wana jf.
 
Nashauri ikifika saa sita, thread za kipuuzi zipigwe stop mara moja!! Au ziunganishwe zote!!
 
Naye amwambie huyu dem kuwa alikua anamtania hata hivyo hamzimiki wala nini na alikua anafikiria ni jinsi gani anaeza mpiga kibuti"
 
hivi kumbe bado kuna watu wanaumizwa na mademu wanaowakataa,!!mi nlishaachaga loooooooooongi
 
huyo jamaa nae life span zenyewe zinasheki ongeza na mastress tena mmh waendelee kuwa marafiki tu bana au kama vp amkaushie
 
wakuu haya ni ya kweli yametokea leo asubuhi,
kuna rafiki yangu mmoja anampenda sana msichana mmoja hivi..na amekuwa akimueleza lakini yule mschana amekuwa akimkatalia na kusisitiza eti waendelee kuwa marafiki,wamekuwa marafiki kwa mwaka mmoja sasa.sasa leo asubihi mida ya saa3 akanipigia cmu kunieleza kilichomkuta kwakweli alikuwa amenyongonyea sana. nikamuliza tataizo nini? akasema leo alipoamka tu alikuta sms kutoka kwa huyo msichana akimueleza kuwa anampenda sana,waka chart kama dk10 then akashangaa anpigiwa cmu na huyo msichana anamwambia..john leo ni cku ya wajinga so nilikuwa nakutania...jamaa imemuuma sana anasema kamuharibia cku yake.so alinipigia cmu kuniomba ushauri kama alichokifanya huyu demu ni sahii au sio na achukue hatua gani juu ya hili swala coz limemuumiza sana.tusaidiane ktk ushauri wana jf.

Ebo! Ushauri wa nini tena ilhali mlimbwende keshamuweka jamaa
kwenye daraja la wajinga wenye siku yao?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom