Leo ni siku ya mwanamke duniani pongezi kwa kina mama...

inakuwaje Viki kamata kila anapoenda kuzindua JK na yeye lazima akatumbuize?????? fl1 naomba jibu!!

hahaha Magezi mie nitajuaje labda mama Salma atujibu kwenye hili...inawezekana kina Jeydee nyimbo zao ziko tofauti na za Vicky?? mie sijui!
 
Ushauri
Mmpendane ninyi kwa ninyi kwanza,
Muwapende mahouse girlz wenu
Muwapende walio maskini,vilema kwa kuwasaidia
Msiwaonee wivu wenye madaraka
Na wenye madaraka msiwadharau wengine.
WAPENDENI KWA DHATI WAUME ZENU NA MABOYF. ZENU
mubarikiwe!!:D
 
Kila la heri wanawake wote Tanzania na duniani kote...Kauli mbiu ya mwaka huu ni wanawake wanawaeza wapewe nafasi.....Rafiki wa mwanamke ni mwanamke.
 
I salute all women, irrespective of their age. And especially those who have made it against all odds. Women in difficult environment, single mothers, women of great faith, women excelled in academics and careers, and politics.

I dedicate Shaggy's Song ....Strength of a woman.
 
Hongera sana kina mama wenzangu kwa siku hii ..tupendane, tuwapende waume na watoto wetu tuwasaidie yatima na wote wasiojiweza na kuhitaji msaada wetu tuzidishe umoja na mshikamo ,.......
Kina baba tunaomba sana suport kutoka kwenu kwani mwanamke ana haki ya kupendwa na kuthaminiwa ..
Nawatakia sikukuu njema sana
NB; dedication song wanawake na maendeleo by Vicky kamata
FL1

Hongereni wamama. Ninyi ni watu wa muhimu na wa maana sana katika dunia hii. Tutazidi kuwapenda, kuwatunza na kuwathamini (wake zetu). Mbarikiwe na BWANA YESU.
 
Hongera sana kina mama wenzangu kwa siku hii ..tupendane, tuwapende waume na watoto wetu tuwasaidie yatima na wote wasiojiweza na kuhitaji msaada wetu tuzidishe umoja na mshikamo ,.......
Kina baba tunaomba sana suport kutoka kwenu kwani mwanamke ana haki ya kupendwa na kuthaminiwa ..
Nawatakia sikukuu njema sana
NB; dedication song wanawake na maendeleo by Vicky kamata
FL1
Yes FL1,
you gave good comments on this special day for you all.
On behalf of my one I wish all the best to all women in the world for making the day being a peace day all over the world.
God loves all those keeping the world a best place to live.
 
Thanx JK be blessed too
 
Back
Top Bottom