Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa hapo utakuwa unakumbatia au unashughulika!!!jamani hii imekaa vizuri nimeipenda na kwa kuanzia na wabuku firstlady na pearl nakumbatia weeeeeeee mpaka basi
@pearl
nichum tena
sasa hapo utakuwa unakumbatia au unashughulika!!!
asante sana
oooooooooooops hapa ndani vip tena ?? naona hii siku inakaribia kuisha
Nami ningenda ku hug 1st Lady, lakini naogopa nisije kuwa kama jamaa mmoja aliye ona picha kwenda akakuta ni kizee chenye sura ya Fisrt lady mstaafu wa nchi fulani.
Nami ningenda ku hug 1st Lady, lakini naogopa nisije kuwa kama jamaa mmoja aliye ona picha kwenda akakuta ni kizee chenye sura ya Fisrt lady mstaafu wa nchi fulani.
Mimi naomba niwahug na kuwachum wafuatao
1.Babra
2.FL1
3. MJ1
4. JS
5.Pretta
6.Shemeji
7.Carmel
6. Pearl (Aramba)
7.bht(Mamushka lol)
8.LFlower
9......
10.Ziodaughter
11. Shishi
Love you all....mwaaaah!
na mm naku huuuuuuuuuuuuuuuggggggggggggggggggggggg
Mimi naomba niwahug na kuwachum wafuatao
1.Babra
2.FL1
3. MJ1
4. JS
5.Pretta
6.Shemeji
7.Carmel
6. Pearl (Aramba)
7.bht(Mamushka lol)
8.LFlower
9......
10.Ziodaughter
11. Shishi
Love you all....mwaaaah!
Mbona ka list kako ni wabeijing tuuu walioenda kwenye mapinduzi China ..
wanaume huwa hamu-hug eeh???