Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini hizi siku wengine hatujawahi kuzisikia ..so kila unayekutana nae mnakumbatiana eeeh??
Je, hii siku ina umuhimu wowote?
First Lady 1, hata mie nimeisikia wameitangaza hii siku kupitia Clouds leo asubuhi, sijui maudhui yake yamekaaje vile! kama ni kila unayekutana naye, loh leo ipo kazi!
Mimi naona leo nikumbatiane na firstLady1! Sijui nitapigwa ngumi? Wenye wivu niwasikie hapa hapa. Ugomvi mie simo. Nakumbatiana tu halafu biashara inaishia hapo.Lakini hizi siku wengine hatujawahi kuzisikia ..so kila unayekutana nae mnakumbatiana eeeh??
Lakini hizi siku wengine hatujawahi kuzisikia ..so kila unayekutana nae mnakumbatiana eeeh??
Lakini hizi siku wengine hatujawahi kuzisikia ..so kila unayekutana nae mnakumbatiana eeeh??
Drphone sasa wewe mchokozi. Mwenzio nilibook Firstlady1 tangu mapema, hafu unasema wewe utakumbatia sana wote wawili. Utaumia weweeee. Tugawane basi, niachie FirstLady1 kuwa muungwana. Tena wewe dr. Si unajua madr walivyo waungwana? Uliapa utakuwa muungwana mpaka kufa umesahau?jamani hii imekaa vizuri nimeipenda na kwa kuanzia na wabuku firstlady na pearl nakumbatia weeeeeeee mpaka basi
Mimi naona leo nikumbatiane na firstLady1! Sijui nitapigwa ngumi? Wenye wivu niwasikie hapa hapa. Ugomvi mie simo. Nakumbatiana tu halafu biashara inaishia hapo.
Leka
Drphone sasa wewe mchokozi. Mwenzio nilibook Firstlady1 tangu mapema, hafu unasema wewe utakumbatia sana wote wawili. Utaumia weweeee. Tugawane basi, niachie FirstLady1 kuwa muungwana. Tena wewe dr. Si unajua madr walivyo waungwana? Uliapa utakuwa muungwana mpaka kufa umesahau?
Leka
wewe usijaribu kumgusa first lady.
tafuta mwingine wa kumkumbatia
weweeeeeeeee fita ni fita muraaaaaaaaaaaa
eeeeeeeh sikujua umesema unanikumbatia,haya moja....,mbili....tatuuuuuuuuu,shika kiuno changu na mimi nikushike nyuma ya shingo na mikono yoote miwili,alafu chumm,mwaaaaaaaaah