leo ni siku ya J1-1 nimerudi na dawa ya @asprin

Hebu waambie vizuri bana. Unakumbuka hii siku? Hebu waambie kilichotokea.

HIVI HIYO MKONONI ILIKUWA JACK DANIELS, NA HUO MKONO MWINGINE JE??
 
sijaona kitu,
mimi naondoka nduki.
Hujaona kitu? Hebu acha masihara....

Kwa kifupi ni kuwa gfsonwin anataka kunipa dawa ya kuacha kujojoa dagaa kama simba anavyopewa dawa hapa..
attachment.php

Tatizo sasa kuna ubishi wa kina Yummy, cacico, BADILI TABIA, CUTE, charminglady na Kongosho kuwa eti gfsonwin hawezi nipa hiyo dawa. Wengine wanasema eti nimezeeka, dawa ya nini tena? Maswahiba zangu Kaizer, Erickb52, Bishanga wameuchuna tu. Naona wanataka niumbuke.

Nadhani sasa Mamndenyi utakuwa umeelewa eh?
 
Last edited by a moderator:
Wallaih huyu Asprin atatuponza,nimechekaaaa mpaka basiii......mimi namuongeza kwenye list yeye na Kongosho wapewe ban kuanzia Mon-Fri,working hours loooh!!!
Yummy hili nalo neno! wana vituko hawa watu si kidogo, sijui anaandika maneno gani kwenye google ili apate hizo pics! kha! mtu mjanja hivi, nashanga kumsikia Kongosho anamuona babu! lolest! kwenye miti hakunaga wajenzi! kha!
 
Last edited by a moderator:
Sasa we mbona huna msimamo? Huyu Young_Master umempendea nini hasa?

babu Asprin ishia hapohapo! Young_Master ana yaleeeee mambo ya vijana, ya kuniita baby na ma-thread ya lovie-dovieeee! we juzi nimekwambia hebu niite kama vijana wanavyoitanaga umeng'aa macho ka DHAIFU alivyoyatoa yake sasa hivi! ila nikimiss vya kibabu ni kwako tu! mwahhh babu Asprin
 
Last edited by a moderator:
Yummy hili nalo neno! wana vituko hawa watu si kidogo, sijui anaandika maneno gani kwenye google ili apate hizo pics! kha! mtu mjanja hivi, nashanga kumsikia Kongosho anamuona babu! lolest! kwenye miti hakunaga wajenzi! kha!
Hamjammstukia Kongosho? Anakuwekeeni kauzibe kijanja. Leo ngoja niwawekeeni picha yangu na Kongosho tuliyopiga ufukweni Kigamboni mwaka 2008.

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Baeleze baeleze bana..... ukaguzi wangu unaambatana na mazoezi makali.
attachment.php

Afu baada ya ukaguzi nikimwambia mtu aondoke ukaguzi umeisha huwa haamini, anataka akaguliwe tu..

DSC00055.JPG

hajui kuna wenzake wako kwenye foleni wanasubiri ukaguzi jamani jamani jamani

DSC09847.JPG

Na wengine wakiona wanachelewa kukaguliwa wanaamua wajikague wenyewe kama Yummy na charminglady walivyokuwa wanajikagua ...

DSC09920.JPG

hahaaaa... nilimpatia kweli Yummy kuanza kumkagua!!!!!!!!!!!! ila siwezi kusema nilichokiona baada ya ukaguzi lol!!!!
n-way ngoja tu niseme ana chachandu ya gram 16 na nusu tena gold sasa dah..... we acha!
 
Last edited by a moderator:
babu Asprin ishia hapohapo! Young_Master ana yaleeeee mambo ya vijana, ya kuniita baby na ma-thread ya lovie-dovieeee! we juzi nimekwambia hebu niite kama vijana wanavyoitanaga umeng'aa macho ka DHAIFU alivyoyatoa yake sasa hivi! ila nikimiss vya kibabu ni kwako tu! mwahhh babu Asprin
Kwa hiyo unanipa kama hizi siyo cacico? Young_Master kwishney habarrrrr ake

attachment.php

Asprin we vipi, kwanini kuniwekea simba
niwekee ya kwako wewe na nani vile sijui.
Hahahaha...twenzetu jukwaa la wakubwa kule, naona unantafutia BAN kijanja.
 
Last edited by a moderator:
Asprin leo umening'adua aisee lolest! kama siyo Kongosho nisingerudi kuanglia hi post manake niko kwa ofc halafu nikaifungua kwa woga kweli nikijua ni mshedede kumbe ni kitimoto............nimeng'aduliwa.
 
Sasa mbona hujanigongea LIKE.

Naona harusi yako na Kaizer ilifana kweli.
Nawaona na wapambe wenu cacico na Young_Master nao walitoka bomba mbaya. Ilikuwa mwaka gani vile?

163877_182893248394970_100000228888730_581795_4850917_n.jpg
 
miaka 10 iliyopita aisee, waona jinsi nilivyopendeza? nampenda sana Kaizer he is good ever to me.
:A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose:
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana kwenye fivesome, sema unataka iwe lini?
Baada ya kupata tiba ya gfsonwin ODM sasa niko gado. Nimekubali kumbe kweli gfsonwin mwalimu. Kawachechetua hapa kina cacico, Kongosho, Yummy, charminglady, Bishanga, Erickb52, Mamndenyi, KARIA et el. Kiukweli tulikuwa na darasa la kiinglish. Na hivi ndivyo darasa letu lilikuwa mpaka nikakabiziwa setifiketi of english reading and writing in english limited.

Teacher: Ok class, let's show the principal & our guests how much
we've learnt so far this year! Let's do comparisons…So I say small,
you say small, smaller, smallest..
[students nod]

Teacher: Big
Class:"Big, Bigger, Biggest.."
Teacher:"clean.."
Class:"clean, cleaner, cleanest..
Teacher:"tall….
Class:"tall, taller, tallest….
Teacher[smiles]:"very good!!
Class:"very good, very gooder, very goodest..
Teacher:"oh gosh.."
Class: oh gosh, oh gosher, oh goshest!!!
Teacher:"stop it now"
Class:"stop it now…stop it nower…stop it nowest!!
Teacher:"oh please.."
Class:"oh please, oh pleaser…O' pleasest.."
Teacher:"Look at me..!!
Class:"look at me, look at me-er, look at me-est..
Teacher:"what a disgrace!
Class:"what a disgrace, what a disgracer, what a disgrace-st

Mwisho wa darasa.....mapumzikoooooooo!!

Teacher: Ok class, let’s show the principal & our guests how much
we've learnt so far this year! Let’s do comparisons…So I say small,
you say small, smaller, smallest..
[students nod]

Teacher: Big
Class:”Big, Bigger, Biggest..”
Teacher:”clean..”
Class:”clean, cleaner, cleanest..
Teacher:”tall….
Class:”tall, taller, tallest….
Teacher[smiles]:”very good!!
Class:”very good, very gooder, very goodest..
Teacher:”oh gosh..”
Class: oh gosh, oh gosher, oh goshest!!!
Teacher:”stop it now”
Class:”stop it now…stop it nower…stop it nowest!!
Teacher:”oh please..”
Class:”oh please, oh pleaser…O’ pleasest..”
Teacher:”Look at me..!!
Class:”look at me, look at me-er, look at me-est..
Teacher:”what a disgrace!
Class:”what a disgrace, what a disgracer, what a disgrace-st

Mwisho wa darasa.....mapumzikoooooooo!!

mpenzi kweli umesoma hadi makerere
 
Baada ya kupata tiba ya gfsonwin ODM sasa niko gado. Nimekubali kumbe kweli gfsonwin mwalimu. Kawachechetua hapa kina cacico, Kongosho, Yummy, charminglady, Bishanga, Erickb52, Mamndenyi, KARIA et el. Kiukweli tulikuwa na darasa la kiinglish. Na hivi ndivyo darasa letu lilikuwa mpaka nikakabiziwa setifiketi of english reading and writing in english limited.

Teacher: Ok class, let's show the principal & our guests how much
we've learnt so far this year! Let's do comparisons…So I say small,
you say small, smaller, smallest..
[students nod]

Teacher: Big
Class:"Big, Bigger, Biggest.."
Teacher:"clean.."
Class:"clean, cleaner, cleanest..
Teacher:"tall….
Class:"tall, taller, tallest….
Teacher[smiles]:"very good!!
Class:"very good, very gooder, very goodest..
Teacher:"oh gosh.."
Class: oh gosh, oh gosher, oh goshest!!!
Teacher:"stop it now"
Class:"stop it now…stop it nower…stop it nowest!!
Teacher:"oh please.."
Class:"oh please, oh pleaser…O' pleasest.."
Teacher:"Look at me..!!
Class:"look at me, look at me-er, look at me-est..
Teacher:"what a disgrace!
Class:"what a disgrace, what a disgracer, what a disgrace-st

Mwisho wa darasa.....mapumzikoooooooo!!

hahahaaaaaaaa haya jipigieni makofiii clap, clap ,clap hongera, imara waaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
hahaaaa... nilimpatia kweli Yummy kuanza kumkagua!!!!!!!!!!!! ila siwezi kusema nilichokiona baada ya ukaguzi lol!!!!
n-way ngoja tu niseme ana chachandu ya gram 16 na nusu tena gold sasa dah..... we acha!
charminglady nitakudisi aseee yani unanianika azarani namna hiiii........unajua kuna mtu namsalandia hapa nlitaka kumsapraizi na ugold wangu wa maunoni:disapointed:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom