leo ni siku ya J1-1 nimerudi na dawa ya @asprin

Heheheheee inabidi Dr mwenyewe ndio aseme kwa niaba ya mgonjwa kuwa tatizo la mgonjwa nini!
Ugonjwa wa mgonjwa dawa yake ni moja hata kama akionekana ana mafua au kuharisha bado dawa yake ni moja Yummy anaogopa?

Nani aogope wewe Erickb52, mambo madogo hayo
 
Last edited by a moderator:
Utakija lini tena nikufundishe kuogelea?

kagua kwanza hao wasiojua ukaguzi wako ukoje! mi mbona hapo free entry ukaguzi! nitakuja babu Asprin!
 
Last edited by a moderator:
mpe rahaze Kaizer wako mwaya! mi Young_Master anajua mwenyewe utamu wake ulipo, ndio maana yupo kimyaaaaaa anakula chabo tu! ila vibabu bwana, unaweza ukadhani umeua, utasikia KIMYAAAAA, Kumbe kanasikilizia ladha kha! JAMANI VIBABU MUWE MNAHEMA MUDA WOTE, MNATUOGOPESHA EBO!
Vibabu hatukubali kushindwa kirahisi.... Na bahati nzuri vibinti vinatushobokea...

attachment.php

funny-couples-love-04.jpg

Funny-Couples10.jpg
 
Tatizo lao wanasema eti mimi na Kaizer tunawafanyiwa kitu kwa masifa utadhani tunalipwa so wao wanaona ni kama adhabu....mkesha hawajazoea wao wamezoea kidogo tu cha kizee cha kutoa nguo za chini tu then za juu zinabaki
Lol aibu kwa gfsonwin na Yummy
Erickb52 hamna kitu kitamu kama chapuchapu kidunchu dogo.......utamu wake hauelezekiiii
Njoo utesti,uje usimulie hapa
 
Last edited by a moderator:
Weye unauweza? Huu mdogo tu wa kutambua hiki ni nini umeshindwa?? FYI hao ni kitimoto wanakula!! Yummy bana, una mawazo ya mbaliiii. Haya ita kina cacico, BADILI TABIA, gfsonwin, Kongosho na charminglady waje wajaribu na wao.

attachment.php

nimekugongea like si kwamba umenikosha roho la bali umeniondolea hamu kabisa ya ku do. lo lo lo lo! jamani uchi huu mbaya sana lo sijui wanaotembea na wazungu wanavumiliaje haya. mmh!
 
aisifiaye mvua imemyea shostito...............!
Hahahaha.... LOL

nimekugongea like si kwamba umenikosha roho la bali umeniondolea hamu kabisa ya ku do. lo lo lo lo! jamani uchi huu mbaya sana lo sijui wanaotembea na wazungu wanavumiliaje haya. mmh!
Unaona ulivyofeli mtihani kama Yummy?......... Na huu nao utakushinda.... Huyo si mwanamke LOL

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
BAbu Asprin huna maana kabisa.

Nimekimbilia kukumbatia komputa ili watu wasione na kuzima juu
Kumbe kitimoto, kweli hiki ni kizazi cha nyoka lol

Weye unauweza? Huu mdogo tu wa kutambua hiki ni nini umeshindwa?? FYI hao ni kitimoto wanakula!! Yummy bana, una mawazo ya mbaliiii. Haya ita kina cacico, BADILI TABIA, gfsonwin, Kongosho na charminglady waje wajaribu na wao.

attachment.php
 
BAbu Asprin huna maana kabisa.

Nimekimbilia kukumbatia komputa ili watu wasione na kuzima juu
Kumbe kitimoto, kweli hiki ni kizazi cha nyoka lol
Hahahaha....... si wewe tu. Msome huyu mhanga mwenzio gfsonwin hapa chini
Hiyo ndo inaitwa dirty mind... nyambaf!

attachment.php

nimekugongea like si kwamba umenikosha roho la bali umeniondolea hamu kabisa ya ku do. lo lo lo lo! jamani uchi huu mbaya sana lo sijui wanaotembea na wazungu wanavumiliaje haya. mmh!
 
Back
Top Bottom