leo ni siku ya J1-1 nimerudi na dawa ya @asprin

Mhhhh! Makubwa! Yetu macho ngoja tuene mwisho wake kama hujaanza kula maembe mabichi, udongo, kutema mate hovyo! Chezea babu weye! shauri yako.

We mwache tu, nami mbegu zangu zinaibuka na vitoto vichangamfu kama hivi.....

Alaji.JPG
 
jamani labda nimwite Erickb52 atuambie kwamba anaumwa nini manake unamtetea tu ama hujui kuwa mficha uchi hazai?????????...........na mficha maradhi kifo kina muumbua?????????? ................lolest!
Heheheheee inabidi Dr mwenyewe ndio aseme kwa niaba ya mgonjwa kuwa tatizo la mgonjwa nini!
Ugonjwa wa mgonjwa dawa yake ni moja hata kama akionekana ana mafua au kuharisha bado dawa yake ni moja Yummy anaogopa?
 
Last edited by a moderator:
Usijali laaziz si unajua tena....'..............when your enemies makes mistakes don't interrupt them...................'

attachment.php
Asprin mbona tunapeana kiu asubuhi yote hii?
Hujui jana watu tumelala saa nane?
Dah ngoja ninywe maji labda kiu itakata
 
Last edited by a moderator:
ukiona hivyo basi huyo cacico mvivu lolest! network ya kibabu unaipata kwa manati bado hajakwamba mara nina kisukari mana nina presha . kimoja kwake ni ishu kama jogoo tu hawana lolote............hapa ishu ni kijana mujarabbb kama Erickb52 wangu game inakuwa ya uhakika aisee usimpiie hata kidaogo best
Yah bora umelijua hilo gfsonwin
Hapa utashindwa mwenyewe ila mi ndio kisima cha Raha ambazo hutazipata kwingine
 
Last edited by a moderator:
We nlikupa kazi ya ukaguzi napokuwa sipo naona umeishindwa..... ona sasa wadada wamezidiwa mpaka wameamua kufanya maamuzi magumu.
Tatizo lao wanasema eti mimi na Kaizer tunawafanyiwa kitu kwa masifa utadhani tunalipwa so wao wanaona ni kama adhabu....mkesha hawajazoea wao wamezoea kidogo tu cha kizee cha kutoa nguo za chini tu then za juu zinabaki
Lol aibu kwa gfsonwin na Yummy
 
Last edited by a moderator:
ndo maana nimeona bora niongeze ulinzi, nishashtuka si unaona gfsonwin ameanza kumzengea? au tumualike kwenye "foursome?"
gfsonwin tena, chezeiya kungwi wa chi chat weye?? atambinua huyo mumeo mpaka kipotee! humuonagi machejo yake kwenye makitchen party gala? alikwenda kumpa dawa Young_Master sikupewa u-house for four days mfululizo, alivyokamuliwa huko! mmmhhhhh usiombee kumuweka mwizi kwenye jela ya vioo! lazma asepe!
 
Last edited by a moderator:
Heheheheeee mbona kama mna wasiwasi sana juu ya ukaguzi?
Hpo nilishamaliza kumkagua ndio maana alikuwa anasita kuja kukaguliwa na wewe ni kama unamlazimisha tu

tatizo Asprin hawakujui hawajui unavyokagua! chezeiya Asprin weye??!

 
Last edited by a moderator:
Tatizo lao wanasema eti mimi na Kaizer tunawafanyiwa kitu kwa masifa utadhani tunalipwa so wao wanaona ni kama adhabu....mkesha hawajazoea wao wamezoea kidogo tu cha kizee cha kutoa nguo za chini tu then za juu zinabaki
Lol aibu kwa gfsonwin na Yummy

uuuuwiiiiiiiiiiii..............! hapa sitaki kuimagine yaani unipe mpera wa kitoto namna hiyo imetunderestimate aisee chalii niombe msamaha lol!
 
Foosam, mtu mwenyewe asprin??
Na uzee huo itakuwa kama mmemteka na kumtupa msitu wa Mabwepande.

BTW, fivesamu inahusu??
Asprin huwa anazembea kwako tu! akikutana na vitu vyake vyenye chata ya ODM mambo huwa tofauti kabisa na mtazamo wako Kongosho! huwa anasema LIWALO NA LIWE! Yaani anacheza pande zote, nimeamini mixer ya mkuyati, konyagi na ngisi ni noumerrrrrrr! lolest
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin tena, chezeiya kungwi wa chi chat weye?? atambinua huyo mumeo mpaka kipotee! humuonagi machejo yake kwenye makitchen party gala? alikwenda kumpa dawa Young_Master sikupewa u-house for four days mfululizo, alivyokamuliwa huko! mmmhhhhh usiombee kumuweka mwizi kwenye jela ya vioo! lazma asepe!
cacico baeleze hawa, wananiona kipolepole aisee!.....but huyu nakwenda mtibia tu so sitaki kumpa utamu, utamu namwachia Kaizer wangu. manake hata kwenye mpira wachezaji wote wanatumia miguu kucheza but mikono pekee iko served for goalkeeper tu. so na kwangu utamu uko served for Kaizer maswtlo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom