leo ni siku ya J1-1 nimerudi na dawa ya @asprin

Hii mechi si ya kukosa kushuhudia, naomba ipelekwe uwanja wa taifa.

Ni mechi kati ya Englan na Spain sijui itakuwaje.


Cheki babu asprin alivyofurahia, kameanza kupasha.

Hommie Kaizer ushakuwa bushoke tena

sasa hapo taifa atafikaje kwa maumivu? hii nitamfuata tu huko nyumbani kwake barabara ya 12 na hapo weye usiwepo manake wewe maza house hutakiwi kabisa but vimada tu wanaruhusiwa .
 
Hahahaaaaaaaaa.....
Hayo masharti kiboko
wewe weka wazi kuwa Umamhitaji babu....
wala si dawa hiyo.........
Kua straight tu..........
But you have made my day dada yangu a moyoni.

sasa dada yangu wa moyoni nimtake huyu babu si atanikaliza eda? mwenzio miye naogopa shombo la eda nikiwa bado mama kijana atiii tena eda yenyewe ya kujitakia lolest
 
Kabla hujapewa kumalizia utakuwa umeshajinyonga kimguu kidogo
Tena kama unahasira za karibu, mafua yatakuwa yameshakutokaje??????
Hahahahaaa kwanza uzuri tumeambiwa twende na kampani kama Yummy so kabla sijaitwa kumalizia ntakuwa nshajimaliza kwa Yummy the nikienda kumalizia kitu Kiboooooooo faster
 
Last edited by a moderator:
Deal Signed.

Hommie Kaizer popote pale ulipo tafazali usikose. BADILI TABIA, Yummy na cacico nawaombeni radhi, sina budi kupata hii tiba muafaka. Tafazali Kongosho asipewe hii habari.

baba daya kusaini jiandae kwa kula supu ya pweza na viroba vya kutosha manake kazi itakuwa kubwa lakin utatibika kabisa. wote mlioombwa kufika please mjitahidi sana sana msikose kufika.
 
Erickb52 usimsingizie, halafu weye nauona kama sharobaro fulani hutoniweza aisee
Hujui masharobaro wao fani zao ni kwenye hayo mashughuli?
Yan huwa hatufikirii kingine zaidi ya kuwaza nanii mpya...kumridhisha nanii na mengineyo
Hatuna mambo ya kuwaza mara kununua Kiwanja hapa ni SWAGA mwanzo mwisho!
 
gfsonwin naona unataka nikutengeneze wewe, mume wa mtu ni sumu ujueeee nimemruhusu Yummy na cacico tu kunisaidia kazi, angalia nitakuroga sehemu zinazofichwa na nguo nitazihamishia shavuni shauri yako....:mad::mad::mad::A S-eek:

basi kama hutaki BADILI TABIA miye ntaacha aendelee kuumwa mkose huduma za kindoa shauriyo bibie.
 
Last edited by a moderator:
wapenzi wa chit chat leo ndio miye kungwi wenu nimerudi na dawa ya kumtibia Asprin baada ya kukutwa na dhahama ya kukojoa dagaa baada ya kutoka na cacico na tego hili aliwekewa na Young_Master.

kwa masharti ya dawa yenyewe yanipasa kumwomba ruhusa wa moyo wangu Kaizer ili nikawe tabibu kwa Asprin na kwakua hawez kabisa kutembea basi nitamfuata nyumbani kwake barabara ya 12.

masharti ya dawa
1) itabidi niipake kwenye utupu wangu kisha wewe uichukue humo kwa kutumia mshedede.
2)kama ukiweza kunipandisha mizuka basi itabidi unipe dozi na iwe intensive dozi worth fulfilling
3) Kaizer atakuwepo ili kama ukishindwa kazi amalizie
4)unaruhusiwa kumleta moja ya vimada wako awe Yummy ama Badili taba lakini siyo cacico.
kama umekubaliana na masharti haya please sign hii fomu hapa chini

mimi..............................nakubaliana na na masharti haya kutoka kwa tabibu wa tego nililopata.
sahihi............................tarehe............................

Mhhhh! Makubwa! Yetu macho ngoja tuene mwisho wake kama hujaanza kula maembe mabichi, udongo, kutema mate hovyo! Chezea babu weye! shauri yako.
 
Usikidharau kibabu, naskia kiko JUUU - source cacico

ukiona hivyo basi huyo cacico mvivu lolest! network ya kibabu unaipata kwa manati bado hajakwamba mara nina kisukari mana nina presha . kimoja kwake ni ishu kama jogoo tu hawana lolote............hapa ishu ni kijana mujarabbb kama Kaizer wangu game inakuwa ya uhakika aisee usimpiie hata kidaogo best
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom