Leo Ni New Year; Birth Day Na Wedding Anniversary Yangu

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Wanasema ni 3 in 1.

Sijui ilitokea vipi hadi ikawa hivi. Ila 1st January kila mwaka ni:

  1. Siku ya Kwanza ya Mwaka Mpya
  2. Ni siku yangu ya Kuzaliwa
  3. Ni siku tuliyofunga ndoa na shemeji yenu.

Nawatakia Wote Heri ya Mwaka Mpya yenye furaha tele na mapumziko mema pamoja na familia zenu.

God Bless You All.
 
Hongera sana Mkuu wewe na wifi yangu

Hii tarehe ya arusi alichagua wifi au ulidectate wewe?? Imekaa vere vere nimekukubali

So wewe na Babu Bigi ni mapacha.....................Happy birthday, Happy Annivesary and Happy New Year
 
Haaaa haaaa Asante sana MJ1. Babu Big itabidi nimtafute. Alizaliwa 31st au 1st?

Tarehe hii ilichaguliwa na wote ila pendekezo la wifi yenu. LOL

Why think nilidictate jamani? hata hivyo tarehe si uchaguliwa kwa maafikiano? Ama?
 
Worry not Superman! salam kwa first lady

Haaa haaa FL bado kalala maana jana kanipeleka viwanja vingi hadi majogoo . . . Ni ushamba wangu huu ikawa shida tu . . .

MPH; SL; L8 na kumalizia kwa JD MP. Ilikuwa balaa.
 
Wanasema ni 3 in 1.

Sijui ilitokea vipi hadi ikawa hivi. Ila 1st January kila mwaka ni:

  1. Siku ya Kwanza ya Mwaka Mpya
  2. Ni siku yangu ya Kuzaliwa
  3. Ni siku tuliyofunga ndoa na shemeji yenu.

Nawatakia Wote Heri ya Mwaka Mpya yenye furaha tele na mapumziko mema pamoja na familia zenu.

God Bless You All.

Imekaa vizuri coz by default lazima Pilao liliwe hapa. Happy bdey, happy new year, happy hio ingine pia. But mbona hutukaribishi bana, matukio yote hayo washerehekea peke ako.
 
Haaa haaa FL bado kalala maana jana kanipeleka viwanja vingi hadi majogoo . . . Ni ushamba wangu huu ikawa shida tu . . .

MPH; SL; L8 na kumalizia kwa JD MP. Ilikuwa balaa.

Good for both of u
hope ur night was ******* pole kwa uchovu lol:whoo::whoo::whoo:msisahau kukandana viuno:whoo::whoo::whoo:
 
Imekaa vizuri coz by default lazima Pilao liliwe hapa. Happy bdey, happy new year, happy hio ingine pia. But mbona hutukaribishi bana, matukio yote hayo washerehekea peke ako.

Duh LD bana . . . hiyo nyingine ni ipi mbona unashindwa kuitaja? Kuna mushkeli?

Karibu Sana Mkuu. Barabara zote leo Pugu Hills ama Mkuranga ama Lindi . . . . Haaa haaa kuna viota vya nguvu huko. karibu sana.
 
Good for both of u
hope ur night was ******* pole kwa uchovu lol:whoo::whoo::whoo:msisahau kukandana viuno:whoo::whoo::whoo:

The night was what???

Kukandana viuno tumekwambia tunaumwa viuno? Tutake radhi tafadhali kabla hujapigwa ban . . . LOL

Wewe mtoto . . . tuko jukwa la MMU si la MYK.
 
Duh LD bana . . . hiyo nyingine ni ipi mbona unashindwa kuitaja? Kuna mushkeli?

Karibu Sana Mkuu. Barabara zote leo Pugu Hills ama Mkuranga ama Lindi . . . . Haaa haaa kuna viota vya nguvu huko. karibu sana.

Hahahaha hiyo ingine bana acha nlitaka ni ku PM, kumbe umeoa bana. Nway msalimu huyo mother house.
 
The night was what???

Kukandana viuno tumekwambia tunaumwa viuno? Tutake radhi tafadhali kabla hujapigwa ban . . . LOL

Wewe mtoto . . . tuko jukwa la MMU si la MYK.

Nahamu na Ban kweli kweli, kwani kuna ubaya kukandana?? haha haha halafu mapema yote hii badala ya kusherekea upo online:whoo::whoo::whoo::whoo:cool
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom