Leo ni May 31,Sijafanya lolote la Maendeleo licha ya Mshahara mnono ninaopata !

Leo ni Desemba 31.Tangu nipost hii thread ni miezi 6 net lakini nafurahi kusema kuwa kwa michango yenu hii ilinifanya kuweka nia na leo nipo nyumbani kwangu(nimekamilisha ujenzi) nyumba vyumba 4,sebule,dining ,choo,bafu na umeme,maji tayari bado ,vigae na madirisha ya mbele vioo bado.

hivyo 2011 nimepata mafannikio

mungu mkubwa

Karibu 2012

Amina
 
Uzi huu ni miongoni mwa nyuzi bora za mwaka huu ktk jamvi letu la uchumi. Kama unaamini ktk Mungu, basi nenda kamshukuru leo jioni kwa mafanikio uliyopata ili 2012 iwe na mafanikio zaidi. Umefunga mwaka vizuri kwa kutoa shukrani.
 
Back
Top Bottom