Leo ni Leo

Saikosisi

JF-Expert Member
May 4, 2007
528
31
Je, ndoto ya Manchester United kuchukua makombe manne (4) mwaka huu kuanza kutimia leo?

Tuwe sote, bado masaa machache..

Kila la kheir Mashetani Wekundu.
 
namber 7 mgongoni wa manchester utd uchezaji wake unafanana fanana na wa Mrisho Ngassa.......
 
half time bila bila kwani game si yaanza masaa ma 3 from nw?au ndo mambo ya kamati ya ufundi?
 
Refa ngesem kabisa, oshea ilikuwa yellow kisha red kamuacha, kamuonea ronaldo!
 
Dakika ya 71 bado bila bila. MANU wanaonyesha wameanza kuwa na wasiwasi. Tottenham wanatoa ushindani ambao sikuutegemea nilidhani MANU watavuna kapu la magoli.
 
loh ama kweli watu wengine tuko mwisho wa dunia...wamawane mzidi tuhabarisha kuhusu matokeo
 
match


Angalia results dakika almost mwisho bado bila bila
 

Attachments

  • MANvs TH.png
    MANvs TH.png
    1.9 KB · Views: 45
Dakika 90 zimekwisha wameongezewa dakika 30 na kama hakupatikana mshindi basi itakuwa ni maguu 12 ya mtu mzima mwenye akili timamu. Sasa hivi ni dakika ya ya nne kati ya 30 za nyongeza.
 
dakika 15 za kwanza zimekwisha wameanza 15 za mwisho
 
Dakika 120 zimekatika bado ni bila bila, sasa ni penalty. Naamini MANU watashinda maana wana wapigaji wazuri wa penalty ukilinganisha na Tottenham.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom